1. Mubarak sasa kuhutubia taifa la Misri usiku huu.
2. Oboma naye aitisha Baraza lake la Usalama dakika chache zilizopita.
Hivi sasa wako kwenye mkutano wa dharura kuhusu yanayoendelea Misri.
Fuatilia maelezo zaidi kwenye THREAD ya 'Elbaradei' hapo juu.
Source: CNN