Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
natumikia ndoa.. nipo half timeWatu wamelala muda huu we unafanya nini mpaka sasa hujalala?
Dah!Mkuu wa mkoa wa wa wa wa wa. . . . .[emoji18]
Hahaha eti chai, badala uwe mdhamini wangu[emoji23]Dah!
hahahahaha ukikamatwa wewe me nakuletea chai nikuone wafananaje!
Nakuletea chaiHahaha eti chai, badala uwe mdhamini wangu[emoji23]
Halafu hata sijamtaja, mbona mnafikra sio kabisa nyie watu
Poa tu, hata ukinambia niwe house boy au mlinzi, fresh tu.Nakuletea chai
mimi nikiwa Mdhamini wako utajuta
utasema bora ungebakia jela
nitakutumikisha weweee! acha tu
ngoja tupumzishe hekalu la mungu,kulala muhimu
AKU KWANINI UPATE RAHAPoa tu, hata ukinambia niwe house boy au mlinzi, fresh tu.
Au kama vipi uwe hata mpiga campaigne wangu, mhamasishaji wa wananchi kama vile "dada mange" , wa kuanzisha amsha amsha JamiiForums na Instagram ""Free Free Alexander Free Free""[emoji23]
Msalimie Buuuuaaanaangoja tupumzishe hekalu la mungu,kulala muhimu
Ha ha ha ha yuko safari ndio maana hadi muda huu siko bizeMsalimie Buuuuaaanaa
Sasa hapo mtihani mwingine, hio kazi ya kupiga picha utanisababishia nichungulie gereza kwa mara ya pili.AKU KWANINI UPATE RAHA
NAKUPA TABU KWAHIYO NAKUPA KAZI YA KUNIPIGA PICHA POPOTE NAPOENDA DUNIANI LAZIMA UJE UNIPIGE PICHA
HIO TABU YAKE UTATAMANI UWE JELA!
I told you!Sasa hapo mtihani mwingine, hio kazi ya kupiga picha utanisababishia nichungulie gereza kwa mara ya pili.
Tatizo moja sijalipangua bado nipo nje kwa dhamana, unanitia kitanzi cha pili.[emoji120]
hatareeHa ha ha ha yuko safari ndio maana hadi muda huu siko bize
Ha ha ha ha,kwa ninihataree
ukimaliza hapo mchepuko nakusubiri getiniπnatumikia ndoa.. nipo half time
doh utasubiria miaka 100 lkn (Kiddin)ukimaliza hapo mchepuko nakusubiri getiniπ