mwerevu mwenye busara Senior Member Joined Oct 23, 2016 Posts 144 Reaction score 93 Jun 18, 2017 #1 Rejea kichwa cha habari hapo juu. Television aina ya panasonic used inauzwa bei yake ni laki moja tu. Kwa serious buyer nipm tufanye biashara
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Television aina ya panasonic used inauzwa bei yake ni laki moja tu. Kwa serious buyer nipm tufanye biashara
trigeminal JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 1,963 Reaction score 2,383 Jun 18, 2017 #2 hiyo peleka makumbusho
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,722 Reaction score 6,593 Jun 19, 2017 #3 mwerevu mwenye busara said: Rejea kichwa cha habari hapo juu. Television aina ya panasonic used inauzwa bei yake ni laki moja tu. Kwa serious buyer nipm tufanye biashara Click to expand... Kabla ya kukupm nataka kujua uko mkoa gani?
mwerevu mwenye busara said: Rejea kichwa cha habari hapo juu. Television aina ya panasonic used inauzwa bei yake ni laki moja tu. Kwa serious buyer nipm tufanye biashara Click to expand... Kabla ya kukupm nataka kujua uko mkoa gani?
king otaligamba JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 2,178 Reaction score 2,038 Jun 19, 2017 #4 Kama ni hiyo hapana
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,817 Reaction score 5,403 Jun 19, 2017 #5 Video
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,774 Reaction score 40,446 Jun 19, 2017 #7 Hivi kuna watu bado wananunua tv machogo dude lina kilo 50. Kubeba hadi toroli.
chuganian JF-Expert Member Joined Dec 6, 2016 Posts 1,067 Reaction score 1,112 Jun 19, 2017 #8 trigeminal said: hiyo peleka makumbusho Click to expand... kuvutia watalii au
Job Richard JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 3,875 Reaction score 2,201 Jun 19, 2017 #10 Bado Ipo mkuu na ni nzima kula 80
khang hoy Member Joined Apr 21, 2017 Posts 18 Reaction score 3 Jun 19, 2017 #11 Hapana na hiyo bado ipo ulimwengun
R Mbuna JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,293 Reaction score 5,418 Jun 19, 2017 #12 troublemaker said: Hivi kuna watu bado wananunua tv machogo dude lina kilo 50. Kubeba hadi toroli. Click to expand... Hizo siku hizi zinatumika kwa wale wenye Play station Games. Wanakula mia mbili mbili za watoto huku uswahilini.
troublemaker said: Hivi kuna watu bado wananunua tv machogo dude lina kilo 50. Kubeba hadi toroli. Click to expand... Hizo siku hizi zinatumika kwa wale wenye Play station Games. Wanakula mia mbili mbili za watoto huku uswahilini.
MGANI PATRICK JF-Expert Member Joined Aug 31, 2015 Posts 490 Reaction score 353 Jun 19, 2017 #13 Labda kama nimeagizwa na mganga wa jadi kwa ajiri ya tiba.
hashim mwamba JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 1,018 Reaction score 1,105 Jun 19, 2017 #14 Mpeleke bibi n babu kijijin maan iyo tv uku mjini haitajik
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,774 Reaction score 40,446 Jun 19, 2017 #15 R Mbuna said: Hizo siku hizi zinatumika kwa wale wenye Play station Games. Wanakula mia mbili mbili za watoto huku uswahilini. Click to expand... Labda kwa wasiojua siku hizi wanatumia monitor.
R Mbuna said: Hizo siku hizi zinatumika kwa wale wenye Play station Games. Wanakula mia mbili mbili za watoto huku uswahilini. Click to expand... Labda kwa wasiojua siku hizi wanatumia monitor.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,792 Jun 19, 2017 #16 Mushi92 said: NCHI NGAPI? Click to expand... mushi acha utani.soma maelezo
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,556 Reaction score 4,162 Jun 20, 2017 #17 mjingamimi said: mushi acha utani.soma maelezo Click to expand... Soma heading
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,792 Jun 20, 2017 #18 Mushi92 said: Soma heading Click to expand... Amendika nchi 24.
Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,556 Reaction score 4,162 Jun 20, 2017 #19 mjingamimi said: Amendika nchi 24. Click to expand... Nchi= country Inch = kipimo
Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,207 Reaction score 6,786 Jun 20, 2017 #20 troublemaker said: Hivi kuna watu bado wananunua tv machogo dude lina kilo 50. Kubeba hadi toroli. Click to expand... Hahahahahahaaaaa.. Nacheka kws dharauuuuuu
troublemaker said: Hivi kuna watu bado wananunua tv machogo dude lina kilo 50. Kubeba hadi toroli. Click to expand... Hahahahahahaaaaa.. Nacheka kws dharauuuuuu