TV LED FULL HD INCH 50"

Joined
May 19, 2017
Posts
31
Reaction score
25
Tunapatikana Kkoo msimbaz daresalaam na China Plaza floor ya pili daresalaam pia mobile shop tunakufukia mpaka home hata mikoani tunawafikia agiza upate kwa wakati kwa nn upoteze mda wako epuka matapeli tutafute sisi kwa vitu bora na uhakika
Price :Tsh 1000000
Warrant 2yrs
 
Ungeweka bei pia ingependeza sana.
 
Kwahiyo tuanze kukubembeleza kuweka bei.

Acheni Ungese kwenye biashara.
 
TV haina hata jina la kampuni? Mnunuzi gani karne ya 21 ata nunua bila kufahamu hilo!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…