Laki tisa kwa TV kama hii una wazimu?Nauza TV Solamax inch 32, inatumia umeme 110/240V, na sola.Port mbili za USB yan sehem mbili za kuchomekea flash, HDMI port mbili pia, Port VGA kwaajili ya computer, output Av. TV ni mpya haina tatizo.
Kwa mawasiliano zaidi
tuma ujumbe mfupi au
piga simu namba
+255763403330
napatikana Dar es Salaam
Buza au KariakooView attachment 801906View attachment 801907
Ndio uweke bei sasa kupunguza maswali utakapo pigiwa iwe ni namna ya kuipata na na mazungumzo mengine kama bei inapungua.Ww laki tisa umeisoma wapi ?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa mzee si ulibaki uchi? Au hadi na wewe ulinunuliwaIshanunuliwa, mpaka lile taulo linaloonekana pale. Ilikua 50k tu