CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Sep 26, 2013 #21 designer spenko said: ni campany gani sony ,LG o?? Click to expand... Yaani kichwa cha habari na bold yote hiyo hakisomeki? kasema TCL
designer spenko said: ni campany gani sony ,LG o?? Click to expand... Yaani kichwa cha habari na bold yote hiyo hakisomeki? kasema TCL
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Sep 26, 2013 #22 pandagichiza said: Naomba kujua tofauti kati ya LED na LCD(liquid crystal display) Click to expand... LED ni Light Emitting Diods. ni tech ya kisasa zaidi screen yake inawashwa na hizo diodes, ni kama indicators kwenye simu au mfano mwingine ni zile taa za kichina. zaidi Google.
pandagichiza said: Naomba kujua tofauti kati ya LED na LCD(liquid crystal display) Click to expand... LED ni Light Emitting Diods. ni tech ya kisasa zaidi screen yake inawashwa na hizo diodes, ni kama indicators kwenye simu au mfano mwingine ni zile taa za kichina. zaidi Google.
A abuujf Member Joined Jan 20, 2012 Posts 16 Reaction score 4 Sep 26, 2013 #23 Singsung bei ya znz ni laki 5 LED 32" SCREEN