chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 764
- 1,261
Duh!mkuu mbn umeuwa...!!!!Kuna Uzi wa wauza TV but bei zao kama wameziokota. Hiyo 48' mpyaaaaaa inauzwa 500,000/=
Mkuu mimi nilinunua m.1.2Laki Tisa na nusu ndio bei powa
Maelewano yapo mkuuKwa bei hiyo utacheza sege dance...
Sijakuelewa!!!!Nzuri sana harafu bado rangi yake inawaka
Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapaDuh!mkuu mbn umeuwa...!!!!
Mkuu ndio maana nimesema discount ipo
Nimekuona kule mkuu sasa ulipata?
Hahahahaha!sasa ulitaka nitangaze nauza sh.500k?Bora hiyo pesa ninunue kiwanja kibiti
YapNimekuona kule mkuu sasa ulipata?
AngalauHahahahaha!sasa ulitaka nitangaze nauza sh.500k?
Unaitwajee??Kuna Uzi wa wauza TV but bei zao kama wameziokota. Hiyo 48' mpyaaaaaa inauzwa 500,000/=