Kwa vyuo vya serikali huo ni mshahara wa assistant Lecturer ambayo ni almost PUTS 2 Norch ya pili sasa hiyo Mzumbe ipi unayozungumzia unapozungumzia mshahara usiweke na marupurupu ambayo hayako constant kati ya chuoa chuo.Tutorial vyuo vya serikali anaanza na PUTS 1 first notch ambayo ni 1,411,000/= ukikatwa katwa unabaki na kama tisa na kitu au tisa kasoro inategemeana.