Tutafutane katika Mambo haya...

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,625
Reaction score
29,899
1. Una harusi usinitafute kwa ajili ya mchango
2. Una birthday usinitafute kwa ajili ya mchango
3. Kipaimara usinitafute kwa ajili ya mchango
4. Unyago usinitafute kwa ajili ya mchango
5. Send off. Usinitafute kwa ajili ya mchango


TUTAFUTANE KWA AJILI YA MAMBO HAYA.
1. MSIBA
2. MARADHI
3. ELIMU
4. MATATIZO MBALIMBALI


MAMBO YOTE YANAYOHUSIANA NA SHEREHE SITAKUCHANGISHA NA USINICHANGISHE.

Mnafikia hatua sasa inakuwa kama ni ugomvi na ni deni.
 
It only works kama hujachangiwa.

Kama umechangiwa ulijiingiza kwenye deni hivi hivi macho makavuuuu.

And you feel inclined to pay back ๐Ÿค”๐Ÿค”
 
inawezekana kabisa mkuu,tena utaheshimika sana.

ifike hatua hapa duniani,tu deal na mambo ya msingi zaidi.
 
Mambo ya kijamii hayo! Kuna wakati huwezi kuyakwepa. Vumilia tu maumivu kwa sasa, na wewe itakapofika siku yako utachangiwa.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚aiseee!HALI NI TETE ๐Ÿšถ๐Ÿผ๐Ÿšถ๐Ÿผ๐Ÿšถ๐Ÿผ
 
mkuu tunashirikiana kwenye shida na raha

kama hukushiriki na mimi wakat wa raha itakuwa ni unafiki kunishirikisha wakat wa shida zako
 
Wewe bana hii Tanzania. Tunaishi kijamaa changa hata nusu ya kadi mwambie zawadi sitakuja ukumbini. Huyo unaekataa kumchangia kwenye raha yake unadhani kwenye shida yako atakukumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ