UGOKO MKAVU
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 202
- 79
kosa kubwa walilofanya ni kuweka siku moja na TPF, matoke yake mtu akimaliza kuangalia TPF kurudi kuangalia EBSS inakuwa ngumu. washiriki wanapayuka ovyo ovyo tu, bendi ni kama kelele tu. yaani bora kuzima tv na kulala tu.
Kama wanafanya vibaya kwanini unawaangalia, au untafuta sababu.