Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Petro ! sisi watanzania ni wepesi saana watu washasahau katiba mpya siku nyingi
Umenena vyema petro.
Kaaazi kweli kweli!dana.
Thanks mkuu, tusisahau pia kumuombea Rais wetu apone haraka!Haya masuala ya tezi dume, PAC na Escrow,Utafiti wa Twaweza na kadhalika yasitusahaulishe. Mbele yetu kuna suala la Katiba mpya,yaani kura ya maoni. Kura ya Maoni itatanguliwa na kampeni juu ya nini wananchi waamue kuhusu Katiba Inayopendekezwa. Muda wa kuanza kutoa elimu juu ya nini hasa kimo kwenye Katiba Inayopendekezwa (si kampeni) ndio huu. Tusisahau watanzania wenzangu.
Nawasilisha.
Haya masuala ya tezi dume,
Nimekudharau sana, huna utu wala adabu! Kufanyia dhihaka ugonjwa wa binadamu mwenzio ni kipimo tosha kuwa hujafundwa!
Kaaazi kweli kweli!
Masuala gani madogo mkuu?Nakuona ni mtu wa kiwango cha chini saaaaaaaaaaaana!. Kiwango chako ndio huwa wanahangaika na masuala madogo yasiyo na maana kwa kuwa ndiyo saizi yao. Pole aiseeeeee.
Wana-UKAWA ndivyo walivyo mkuu!Nimekudharau sana, huna utu wala adabu! Kufanyia dhihaka ugonjwa wa binadamu mwenzio ni kipimo tosha kuwa hujafundwa!