Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Mkuu twende taratibu, nani kamchukia nani?Tupendane wadau wa humu tuache majungu.
Maisha haya ni mafupi tupeane faraja na kushairiana mambo yakujenga sio kubomoa .
Unaweza kuwatag watu Fulani ila ukiwa nashida wao wanamuacha Matata wachache ulio watag ndio wanakusaidia hii sio fresh tusiishi kiunafiki tupendane ,tusaidiane , tusidhihakiane sio fresh .
Mie nalango Moja upendo hujenga hujawahi muacha mtu kabisa .
Hizi chuki acheni , msisahau humu ndani watu umri umeenda tujiheshimu na kuwa heshimu wengine ukiona hujafanikisha lengo lako Kaa kimya mbona siye tunakaaga kimya tu tumebeba kifuani mambo Mengi tu tukiamua kufungua magazeti yaliyopita watu watabaki na mshangao .
Basi tusiaibishane tupendane ndio langu neno la Leo
Watu wanachukiana sana Kosa hakuna nimesoma Uzi mbali mbali nikajawa na hasira tu wanaume wanadharau sana wanawake wanachuki nao Wana kera nikila uzii hii sio nzuriMkuu twende taratibu, nani kamchukia nani?
Ndio nyie wanaume wahumu Kwa maana hamjulikani sura mnakuwa mnaropoka matusiKuna mtu kashachana mkeka tayari
Fanya HIPHOP wataje majina kwa maana naamini sio woteNdio nyie wanaume wahumu Kwa maana hamjulikani sura mnakuwa mnaropoka matusi
Usipate hasira mremboWatu wanachukiana sana Kosa hakuna nimesoma Uzi mbali mbali nikajawa na hasira tu wanaume wanadharau sana wanawake wanachuki nao Wana kera nikila uzii hii sio nzuri
Hapana bwana mnauzi hata kama sio seriousUnless mna mawasiliano ya namba za simu au uko DM, unless otherwise this is just an illusion
Nothing serious here...
🥰🥰🥰Mapendo umenikumbusha mbaliUsipate hasira mrembo
Tuoneshane mapendo yawe mfano kwao
Wapi huko??🥰🥰🥰Mapendo umenikumbusha mbali
Neno zuri kabisaTupendane wadau wa humu tuache majungu.
Maisha haya ni mafupi tupeane faraja na kushauriana mambo yakujenga sio kubomoa .
Unaweza kuwatag watu Fulani ila ukiwa nashida wao wanakuacha Matani wachache ulio watag ndio wanakusaidia hii sio fresh tusiishi kiunafiki tupendane ,tusaidiane , tusidhihakiane sio fresh .
Mie najambo Moja ni pendo hujenga hujawahi muacha mtu kabisa .
Hizi chuki acheni , msisahau humu ndani watu umri umeenda tujiheshimu na kuwa heshimu wengine ukiona hujafanikisha lengo lako Kaa kimya mbona siye tunakaaga kimya tu tumebeba kifuani mambo Mengi tu tukiamua kufungua magazeti yaliyopita watu watabaki na mshangao .
Basi tusiaibishane tupendane ndio langu neno la Leo
Asantee shogaa angu wa ukweli 😝🥰😘Neno zuri kabisa
SawA loveAsantee shogaa angu wa ukweli 😝🥰😘
Nilivyokuwa nasoma shule za masister wewe ni muarc eh?Wapi huko??
Wanawake wanaodharauliwa ni wale wanao jidharaulisha mwanamke akiwa na heshima kike atakae mdharau afungwe jiwe atupwe baharini , wasio jiheshimu kike watadharauliwa tu ,tena bora sasa iv zamani walipigwa mawe mpka kifo .Watu wanachukiana sana Kosa hakuna nimesoma Uzi mbali mbali nikajawa na hasira tu wanaume wanadharau sana wanawake wanachuki nao Wana kera nikila uzii hii sio nzuri