Tupeane ujuzi na madili

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,632
Reaction score
8,452
Jiunge kwenye group la kupeana ujuzi na madili. Lengo la group hili ni kupeana madili ambayo wanagroup wana ujuzi nayo.
Pia tutafundishana sisi kwa sisi ili kupanua wigo wa kupata madili zaidi.

Tupenae ujuzi na madili

Karibuni sana.
Usisite kutaja ujuzi wako pindi tu ujiungapo na group hilo
 
Madili yote yalikwisha kwenye awamu ile ya JK.
Kwakifupi saizi hakuna maisha ya ujanja ujana, labda kama una agenda ilio jificha
Endelea kuimba kama kasuku huku wenzako wanafyatua PESA ZA WAJINGA.

MADEAL yanayopigwa kwa sasa ni MAKUBWA sana tena WITH FULL IMPUNITY na YAMEHALALISHWA KIBABE
 
Usalama wa Taifa wa awamu hii mna mbinu dhaifu sana mnatumika na Ccm mmekuwa tawi lao sasa hapo hata mjinga humpati km ni madili washirikishe ndg zako
 
Kwanza group lenyewe ni la madili, nisije ingia ukawaambia wenzako umewaletea dili.
 
Ukijiinga kwa hiyo link kuna device inayotrack hadi ID yako humu.Jiunge ujute.Namba yako itakua displayed.
 
Mkuu mbona inagoma hii kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…