Tungalijua maana ya uongozi wala tusingeumizana

Maccm wao ni madaraka tu hizi nabari yanaziba masikio
 
Hufanyika kama formality tu. Wangeamini ktk uwepo wa Mungu wasingeuwa, kuteka ama kupora mali na haki za watu.
Tatizo lilopo wengi wakishapata madaraka wanasahau hata kukaa madarasani , sisi waislam kukaa na kusoma dini yetu wengi tunaona ushamba, cheo kidogo kinakufanya kupinda bega kwa mbwembwe kitu ambacho ktk uislam hakikubaliki. Uongozi dhamana kubwa na ngumu mno kwa anaejua
 
Reactions: G4N
Uongozi ni dhamana ila wengi huwa wanashindwa kutumikia uongozi wao badala yake huumiza waliochini yake especially bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…