Tundu Lissu ndani ya Mafia

mungu ibariki chadema mungu ubariki ukawa mungu twakuomba wape macho watanzania wote waone ubaya na dhuluma inayo fanywa na ccm ili watanzania ikifika October wasichague tena ccm ili tuunde serikali ya mseto
 
kwa andishi lako hili tu nimegundua kichwa chako hakipo sawa! Wahi milembe!

Hawa ndio wanajiita wazalendo sasa sijui ni wazalendo kwa nani. Mbichwa wake na mdomo umemjaa maneno ya husuda halafu yupo jukwaana anajiita mzalendo. Naomba unijibu haya ndiyo maneno ya wazalendo?
 
Lisu ukiangalia kichwa chake tu!utajua hayupo sawa!
wote tulio pigika na serikali ya mafisadi ukiangalia vichwa vyetu kama hutupo sawa hv. Lakini october 25 tutakua sawa.
 
Tuwekee picha tuone siyo mnazusha tu au ndo wanaogopa kuonesha!
 
Peoples, adui msogelee,Mafia mpoooo M4C ndo kila kitu. Lisu unasubiliwa ILEJE, sikumoja fika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…