Tunda la sababisha mauti

Nakuchukia sana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
589
Reaction score
1,157
Yaan alilotenda jamaa uganda limewachaa wanajamii vinywa wazi,baada ya kumkuta mkewe na mwanaume mwingine kitandani.

Jamaa alijawa na hasira akikumbuka anavyoimbania familia yake.Alafu dume lingine laja kula tunda kiurahisi,bila kuhudumia lolote. jamaa alichomoa beto na kumuendea mwanaume huyo kitandan.Bila kuongea na yeyote alimchomeza, jombie la watu beto za kutosha na kumsabishia maut

Saiv jombie hatupo na yeye tena,mke amekamatwa na polis kwa uchunguz zaid.mwamba kasepa ila polis wanaendelea na msako

Je we mwanaume mwenzangu,ukimkuta mkeo na mwanaume mwingine.Je utachukua maamuz gan?
 
Tukio likitokea ndo itajulikana nini kifanyike
Isije tokea ukajisifia kuwa nitaua au nitapga, unaweza jikuta unafanyiwa wewe!
 
Siui mtu! Naenda zangu kunywa safari zangu nne na huyo mke Nampa talaka
 
Siui mtu! Naenda zangu kunywa safari zangu nne na huyo mke Nampa talaka
MKUU UKIWA NA HASIRA NENO FIKIRIA KABLA YA KUTENDA HUA HALINA NGUVU WEW NI KUTENDA TU UTAFIKIRIA MWISHONI BAADA YA KUTENDA NA HUO NDO UBAYA WA HASIRA
 
Kuna watu watakuja na hoja za kataa ndoa kwenye hili pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…