Tunawezaje Kujiingiza Kwenye Jumuiya Ya Africa Mashariki Kwa Vitisho Ya Wakenya?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Kwa muda wa siku mbili, mjadala wa Jumuiya ya Africa mashariki imechukua sura mpya baada ya Mkenya mmoja kutoa shutuma za kejeli na dharau dhidi ya watanzania. Bila ya kumungunya maneno, mtanzania mmoja ambaye ni mtetezi wa haki za binadamu kamjibu huyo mkenya kisawasawa. Je malumbano kama haya yanatija kweli kwenye huu muugano?

Mkenya

Majibu Ya Mtanzania
 
kwa akiri ya magamba tutaingia tu.si unajua akiri zenu zilivyo???kama mmebemendwa vule.napita tu.
 
kwa akiri ya magamba tutaingia tu.si unajua akiri zenu zilivyo???kama mmebemendwa vule.napita tu.

CCM tumejaza vimeo ila sidhani watakuwa wapumbavu kuungana na wakenya. jana wamechinjana kama mbuzi leo tushiriane nao ili hao wenzao waletwe tanzania? hatuwezi kukubali.
 
ccm tumejaza vimeo ila sidhani watakuwa wapumbavu kuungana na wakenya. Jana wamechinjana kama mbuzi leo tushiriane nao ili hao wenzao waletwe tanzania? Hatuwezi kukubali.

wewe huwezi kukubali sababu najua kwa kiasi flani unaumia na haya maisha na unajua itakuwa na effect kwako liakini mwenyekiti wako dhaifu atakubali kwa moyo mmoja. Kwanza mpaka hapa alishakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…