M mrkazi360 Member Joined Sep 19, 2023 Posts 69 Reaction score 40 Aug 26, 2025 #1 Sungura Wanauzwa Piga sim chap No Chat Piga 0612323330 Attachments IMG-20250826-WA0061.jpg 62.7 KB · Views: 20 IMG-20250826-WA0060.jpg 57.6 KB · Views: 21
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,767 Reaction score 9,120 Aug 26, 2025 #2 Bei
Mfalme_wa_Nyika JF-Expert Member Joined May 24, 2023 Posts 684 Reaction score 1,543 Aug 26, 2025 #3 Sema uko mkoa gani, sungura aina gani, wana uzito wa kiasi gani, na bei gani, acha ufala wewe unafanya biashara kama mgogo bana
Sema uko mkoa gani, sungura aina gani, wana uzito wa kiasi gani, na bei gani, acha ufala wewe unafanya biashara kama mgogo bana
T The atlantic JF-Expert Member Joined Aug 1, 2023 Posts 458 Reaction score 783 Aug 26, 2025 #4 Mfalme_wa_Nyika said: Sema uko mkoa gani, sungura aina gani, wana uzito wa kiasi gani, na bei gani, acha ufala wewe unafanya biashara kama mgogo bana Click to expand... Umemaliza
Mfalme_wa_Nyika said: Sema uko mkoa gani, sungura aina gani, wana uzito wa kiasi gani, na bei gani, acha ufala wewe unafanya biashara kama mgogo bana Click to expand... Umemaliza
Manlax Member Joined Jan 1, 2013 Posts 47 Reaction score 172 Aug 26, 2025 #5 Hapa ndipo tunapozidiwa na wenzetu kwenye Biashara. Tunaishia kuwalaumu wageni. Kweli TANGAZO mimejitosheleza kweli.? Hakuna Location hakuna taarifa za Msingi. Wabongo tubadirike.
Hapa ndipo tunapozidiwa na wenzetu kwenye Biashara. Tunaishia kuwalaumu wageni. Kweli TANGAZO mimejitosheleza kweli.? Hakuna Location hakuna taarifa za Msingi. Wabongo tubadirike.
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 6,988 Reaction score 10,381 Aug 27, 2025 #6 Unazingua
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 16,526 Reaction score 18,616 Aug 27, 2025 #7 Wacha kumumunya maneno mkuu! Sema kabisa tu kwamba hata ndipo tunapozidiwa na wenzetu Wakenya! Manlax said: Hapa ndipo tunapozidiwa na wenzetu kwenye Biashara. Tunaishia kuwalaumu wageni. Kweli TANGAZO mimejitosheleza kweli.? Hakuna Location hakuna taarifa za Msingi. Wabongo tubadirike. Click to expand...
Wacha kumumunya maneno mkuu! Sema kabisa tu kwamba hata ndipo tunapozidiwa na wenzetu Wakenya! Manlax said: Hapa ndipo tunapozidiwa na wenzetu kwenye Biashara. Tunaishia kuwalaumu wageni. Kweli TANGAZO mimejitosheleza kweli.? Hakuna Location hakuna taarifa za Msingi. Wabongo tubadirike. Click to expand...
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 4,253 Reaction score 11,624 Aug 27, 2025 #8 Mfalme_wa_Nyika said: Sema uko mkoa gani, sungura aina gani, wana uzito wa kiasi gani, na bei gani, acha ufala wewe unafanya biashara kama mgogo bana Click to expand... Yan kuna watu ni wapumbavu sana na hawajui kabisa biashara wajinga hawa. Yeye anaona ndio kaweka tangazo hapo. Very poor
Mfalme_wa_Nyika said: Sema uko mkoa gani, sungura aina gani, wana uzito wa kiasi gani, na bei gani, acha ufala wewe unafanya biashara kama mgogo bana Click to expand... Yan kuna watu ni wapumbavu sana na hawajui kabisa biashara wajinga hawa. Yeye anaona ndio kaweka tangazo hapo. Very poor