Mzigo wa vifaa vya solar umeingia nchini kwa bei poa ya kumaliza mzigo fasta fasta toka Japan. Guarantee ipo kama tutakufungia sisi wenyewe site kwako, ukinunua tu bidhaa utapata warranty tu. Mali safi ya ubora wa hali ya juu! Ofisi mnazi mmoja. Piga namba 0713978353, website yetu iko matengenezoni. Doccument zote unapata, risiti, kila kitu. teda pia tunaandika ni kampuni ina document zote. Na tunao watalamu wa kuinstallpia kama utataka, ukitaka kununua jumla pia tunakuuzia. Hata kama unataka vifaa kiasi tu tunakuuzia jumla.
BEI ZA JUMLA
SOLAR PANNELS
100W kwa 300,000/=
185W kwa 350,000/=
240W KWA 400,000/=
SOLAR BATTERY
SPB 100 AH KWA 270,000
SPB 120 AH KWA 300,000
55 AH KWA 200,000
SPB 7 AH KWA 70,000
INVENTORS
1400VA 24V KWA 670,000
600VA 12V KWA 400,000
800VA KWA 500,000
2.5 KVA KWA 1700000
3.5KVA KWA 2300,000

Ni za Japanese brands KYOCERA made in Germany, assembled in China zingine Japan NA SUKAM made in India ziko well known globally! You can googleNi Brand gani?mafafa yamezidi mjini!
Hioinbidi sasa uongee na fundi wako ajua vifaa vyako vinahitaji watts ngapi then akudesignie mchoro.mkuu naomba utusaidie tujue system ipi inafaa kwa matumizi yepi, mfano kama nataka kuangalia TV ninunue system ipi, kama nataka taa peke yake etc.
Hioinbidi sasa uongee na fundi wako ajua vifaa vyako vinahitaji watts ngapi then akudesignie mchoro.
Mzigo wa vifaa vya solar umeingia nchini kwa bei poa ya kumaliza mzigo fasta fasta toka Japan. Guarantee ipo kama tutakufungia sisi wenyewe site kwako, ukinunua tu bidhaa utapata warranty tu. Mali safi ya ubora wa hali ya juu! Ofisi mnazi mmoja. Piga namba 0713978353, website yetu iko matengenezoni. Doccument zote unapata, risiti, kila kitu. teda pia tunaandika ni kampuni ina document zote. Na tunao watalamu wa kuinstallpia kama utataka, ukitaka kununua jumla pia tunakuuzia. Hata kama unataka vifaa kiasi tu tunakuuzia jumla.
BEI ZA JUMLA
SOLAR PANNELS
100W kwa 300,000/=
185W kwa 350,000/=
240W KWA 400,000/=
SOLAR BATTERY
SPB 100 AH KWA 270,000
SPB 120 AH KWA 300,000
55 AH KWA 200,000
SPB 7 AH KWA 70,000
INVENTORS
1400VA 24V KWA 670,000
600VA 12V KWA 400,000
800VA KWA 500,000
2.5 KVA KWA 1700000
3.5KVA KWA 2300,000
Mchoro?
NDIO MCHORO AKA DESIGN UNAANGALIA PANNEL NGAPI, SIZE YA INVENTOR,CHARGER CONTROLLER, SIZE YA PANNEL, IDADI YA BATTERY NA ARRANGEMENT YA BATTERY! Nmeandika herufi kubwa usome uelewe! sasa kama una mradi mkubwa, bila mchoro utaenda?
Sisi tunafnga miradi au projects kubwa na za kati kutkana na gharama zilivo, na Egineers wapo, mie ni sales tu, siwezi kumsaidia maana mu anataja vifaa bila kuvijua kiundani afu unarecommend system ndogo kumbe mahitaji makubwa inakuja kuwa issue. Na kwanini tufanye biashara ya kukisia? Mtu anaweza kusema natumia Tv tu kumbe tv lenyewe plasma kubwa.Mkuu ulisema km mteja akitaka kufungiwa mnaweza kumfungua nyie wenyewe. Inakuwaje akija dukani kwako na akitaka umsaidie kujua vifaa km tv na taa zitagharimu kiasi gani na atahitajika kufunga solar ya ukubwa gani kupata umeme kwa mda anaotaka wakati huo huo unasema mambo hayo inabidi asaidiwe na fundi wake. Nyie hamuwezi kumsaidia kufanya designing ili kila kitu mmalize ofisini na akinunua mnaenda tu site?
Ni dry cell ndio lie span yake ni 5 to 7 years even more kutegemeana na utunzaji. Wet cell pia tunazo.Mkuu hizo battery zako ni dry cell? Na zinahitaji kuwa replaced baada ya muda gani?
Sisi tunafnga miradi au projects kubwa na za kati kutkana na gharama zilivo, na Egineers wapo, mie ni sales tu, siwezi kumsaidia maana mu anataja vifaa bila kuvijua kiundani afu unarecommend system ndogo kumbe mahitaji makubwa inakuja kuwa issue. Na kwanini tufanye biashara ya kukisia? Mtu anaweza kusema natumia Tv tu kumbe tv lenyewe plasma kubwa.
Design tunayofanya sisi lazima tupeleke mtu site, vya kukisia hatufanyi hata siku moja manake imeonesha wateja si waaminifu, wanadanganya kupunguza cost afu baadae inakuwa usumbufu kubailisha vitu afu anakomaa mlinishauri .
inawezekan lakini sivo inavoshauriwa!Nataka nifunge solar Bila kutumia invetor, Je kuna tatizo lolote au? Na taa mnazo pia?
inabidi kujua vote vinakula watts ngapi! type zipo kabisaaa ni kwamba unachukua pannel kubwa na battery kubwa zenye uwezo huo! kuna mradi wa solar ya kusukuma kiwanda tumeundikia wanaweka pannel heka nane!ni vizur unapomshauri mtu kuweka solar kuangalia na baadae atakuwa na nn.
Je mie nina pasi, fridge, taa, mzik tv chogo computer nk..je kuna type hapo inaweza sukuma vyote kwa mpigo? au baadh (pasi)