Dar unapatikana wapi mimi nichagulie miche inayostawi kwenye mfinyanzi mkali sana ambao wakati wa kiangazi hadi ardhi inapata ufa. Mimi nitajitahidi kutumia drip kjmwagilia hadi miche ishike ardhini kikamilifu
nataka huu mche11. Kumamanga
Mwenyewe hataki kusahihisha anasema bora ususe kununua mbona wajapani hamuwaambii wabadilishe jina la mji wao Kumamoto!
Na wana team Yao inatuchania mikeka kila maraMwenyewe hataki kusahihisha anasema bora ususe kununua mbona wajapani hamuwaambii wabadilishe jina la mji wao Kumamoto!