Ni kichaa, wala sio uongo! Kwanza, ufugaji wa kuku wa kienyeji ni pasua kichwa! Ukisema uwafungie ndani, taabu na ukifanya free range system; taabu! Lakini pamoja na taabu yote hiyo, unalilisha kwa zaidi ya miezi 6 wakati halikupi chochote kile cha maana! Kama ni koo, baada ya hiyo miezi 6, ndo kwanza linaanza kukuletea tumayai 10 kwa kila mtago! Hata ukisema uwe unayatoa kila anapotaga, labda amezidi sana, tumayai 20 kabla hajakususia kiota chako!
Fuga kuku wa kienyeji kama mboga lakini kibiashara, NOT ECONOMICAL compared to hawa wa kisasa!