Tunauza mashine za kutengeneza Icecream (Icecream Makers Machines). Mashine zetu ni mpya kabisa. Pia endapo utanunua kwetu, tutakuelekeza jinsi ya kutengeneza icecream sambamba na kukuagizia spares moja kwa moja kutoka kiwandani endapo utahitaji. Sifa za mashine zetu ni kama zifuatazo:
220V~ 50Hz 2200W
Capacity:18-28L/H
Mix hopper: 6Lx2
Refrigerant: R22
Product size: 540x590x1360mm
Color: Orange/ silver/ gold/green
Material: Plastic front panel, black painting metal side panel and PC mix hopper
Bei zetu ni kati ya 2m - 2.5m. Bei zinatofautiana kulingana na ukubwa na aina ya mashine.
Kwa mawasiliano, tupigie kupitia 0714-086500