Any feedback. Aidha soma vizuri nilivyoandika kuwa unaweza uza bei chini zaidi kuliko offer ulizopata. Asilimia 90 ya wanaouza wanahitaji hizo pesa kwa ajili ya kufanyia kitu kingine you cannot just sell your assest for the sake of selling it. Na nilikuwa nakupa tu mawazo ambayo yangeweza kukusaidia kufanya maamuzi at the end you are the one to decide! Have a cery happy new year!Tambua na elewa mtu anapouza Mali yake hauzi ili mradi tu itoke (ingawa pia hutokea mara chache)
Kuna wakati bei lengwa isipofikiwa mwingine hughairi kuuza kwa kuwa haoni manufaa ya kuuza hiyo asset yake. (Wengine huamua ni bora kwenda kukopa kupitia hiyo asset)
Tatizo la jf siku hizi ni kudhani kila anayeuza Mali Yake basi anashida kupindukia.
Unaweza ona 10m ni nyingi kwako ila kwa mwenye Mali ni pesa ya kawaida na wala haifikirii.
Kiwanja kitauzwa tu wala usijali.
Haelewi somo!Nakushauri pokea. Juzi tumeuza 1600sqm kwa 14m Bunju B
Salaam,
Kiwanja kipo Bunju B (upande wa kushoto ukiwa unaelekea bagamoyo)
kipo karibu na nyumba za TBA
Kina ukubwa wa sqm 1628
Kipo sehemu tambarare (angalia picha chini)
Kiwanja kina hati Maliki ya eneo.
Bei : 35m
For more info
contact: 0756 832833
For only serious client
ATTACH=full]931232[/ATTACH]View attachment 931238View attachment 931236View attachment 931237
Na chenji inabaki40M sasa hivi ni nyumba sio kiwanja.
Mkuu usipate shida sana kuelewesha wengine ni pimbi wanalala na kuamkia kwa mama zao wanafikiri ndiyo maisha.Tambua na elewa mtu anapouza Mali yake hauzi ili mradi tu itoke (ingawa pia hutokea mara chache)
Kuna wakati bei lengwa isipofikiwa mwingine hughairi kuuza kwa kuwa haoni manufaa ya kuuza hiyo asset yake. (Wengine huamua ni bora kwenda kukopa kupitia hiyo asset)
Tatizo la jf siku hizi ni kudhani kila anayeuza Mali Yake basi anashida kupindukia.
Unaweza ona 10m ni nyingi kwako ila kwa mwenye Mali ni pesa ya kawaida na wala haifikirii.
Kiwanja kitauzwa tu wala usijali.
Toa specification, ukubwa, Goba sehemu gani, distance kutoka rami, naitaji sana,Tulimpa Wateja kama watatu wa mwisho anasema alimpa offer ya 32m, nadhan walishindwana ndio maana mpaka leo bado kipo.
Kipo goba
Sqm 1400
Kwa hiyo offer yako kinaweza kukufaa.
Kama uko interested tuwasiliane
Sent using Jamii Forums mobile app
Nicheki namba yako PmGoba kwenye lami mpya ya kwenda madale. (Njia NNE)
Sqm 1400
Distance from the main road is 600-800meter
Kiwanja chote ni plain surface
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulimpa Wateja kama watatu wa mwisho anasema alimpa offer ya 32m, nadhan walishindwana ndio maana mpaka leo bado kipo.
Kipo goba
Sqm 1400
Kwa hiyo offer yako kinaweza kukufaa.
Kama uko interested tuwasiliane
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]panaonekana pazuri, ila punguza bei kidogo, yaani spm 1 tshs 27 alfu.