Hello wakuu, habari zenu? Natumaini mko poa.
Karibu Oscar Outfits kwa bidhaa za mavazi kama viatu, nguo (Jeans, Sweet pants, Jerseys, Shorts, Sandals n.k).
Tunauza manukato/ Perfumes zenye harufu nzuri za kuvutia kwa bei nafuu.
Tunafanya delivery on time kwa Dar es salaam, tunatuma bidhaa mikoani kwa gharama nafuu kabisa na kwa uaminifu mkubwa.
Katika kupanua wigo tumeamua kuongeza huduma ya kutuma bidhaa zozote (Agiza nasi tutakuletea). Unachotakiwa kufanya ni kuagiza nasi tutakutafutia na kukutumia on time.
Chini nimeambatanisha baadhi ya bidhaa za mavazi na perfumes.
Karibuni sana!
View attachment 2844981