Nyumba hii inategemewa kujengwa Mbezi -Mpiji kiwanja ni 20*20..Nyumba ina upana wa wa 10 M na urefu wa 10M...Kiwanja kinabaki na nafasi ya kutosha kama unavyoona hapo...Kwa huduma zote za ujenzi karibu tukuhudumie..
Nyumba hii tumefanya kila kitu kuanzia michoro paka ilipofika hapa..tukiwa tumemaliza zoezi la kuweka Grill na zimeghalimu 2.6 M tu madirisha 22..View attachment 1705740