TUNATOA HUDUMA ZA INFORMATION TECHNOLOGY; WEB DESIGNS, DATABASE, NETWORKING, SOFTWARE ENG etc

mathematics

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
3,324
Reaction score
1,116
1. WEBSITE / BLOG DESIGNING (STATIC AND DYNAMIC)

(i.)Tunatengeneza both Dynamic and static website, pamoja na hosting.Tunatumia lugha yoyote anayohitaji mteja, bei inategemea complexity ya website. Bei ni kuanzia Tsh 600,000/= na kuendelea, bei inategemea na complexity ya Website.

(ii.)Blog bei kuanzia Tsh 100,000/= na kuendelea, pia bei inategemea na complexity ya Blog.

2. NETWORKING (WIRELESS AND WIRED)

wireless na wired networking kwa ofisini , Shuleni, Vyuoni, Nyumbani .

(i.) WIRELESS NETWORKING kuanzia Tsh 500,000/= na kuendelea
Bei ni kulingana na Router aina gani, na Routers ngapi mteja anahitaji.

(ii.) WIRED NETWORKING kuanzia 500,000/= na kuendelea, bei ni kulingana na idadi ya PC na metre/mzingo wa eneo.

3. DATABASE

(i.)Stand-alone: Kwa matumizi ya mtu mmoja, bei kuanzia 500,000/=, na kuendelea.

(ii.)Multiple users: Kwa matumizi ya mtu zaidi ya mmoja, online hosted, bei ni kuanzia TSH 600,000/=, na kuendelea.
Lugha aina yoyote itatumika kulingana na hitaji la mteja.

Bei ni kulingana na complexity/ukubwa kazi husika .

4. SOFTWARE ENGINEERING

Tunatengeneza Software za aina mbalimbali kulingana na hitaji la mteja, tunataumia lugha yoyote kulingana na atakavyohitaji mteja.

Bei ni kulingana na aina ya Software, na complexity ya hiyo software.

5. SOFTWARE AND PROGRAM INSTALLATIONS

Tunafanya installation ya software mbalimbali kwa matumizi ya mtu mmoja au shirika, e.g Tally etc

Bei inategemea na aina ya software na idadi ya PCs.

6. PC MAINTANAINCE

Tuna repair PC kwenye software and hardware problems, sio kwa mtu mmoja mmoja, ni kwa sehemu kama shule au ofisi au mashirika.

Bei ni kulingana na ukubwa wa kazi.

7. IT CONSULTANCY

Tunatoa ushauri wa ki-IT kulingana na kazi au hitaji la mteja, consultation fee ni bure.

-----maswali na changamoto yanaruhusiwa, but please save your jokes and non-senses for other threads.

TUNAPATIKANA:

Cleva Technologies
Rubada building,
Ubungo Shekilango,
Dar Es Salaam.

Serious clientele send pm or call 0782 9966333 / 0714 345958 / 0752 858693
 
mkuu nitawasiliana nanyi nina project yangu moja nadhani mtanifaa. asante kwa mchanganuo mzuri.
 
Mkuu mnatengeneza software kwa ajili ya Android na iOS pia?
 
hongereni sana nimewasoma nimewaelewa vyema mmetoa mchanganuo mzuri wa kazi zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…