A abasi yahya Member Joined Aug 19, 2015 Posts 8 Reaction score 23 Sep 13, 2022 #1 FURAHA YETU: Ni... √ Kukuona UNATIMIZA NDOTO YAKO ya kua na kisima chako cha maji safi kwenye eneo lako (nyumbani, shambani, gereji nk) √ Kukupa MUONGOZO na USHAURI wa namna sahihi ya matumizi na uangalizi wa kisima chako √ Kukupa USAIDIZI na MATENGENEZO ya kisima chako wakati wowote na mahali popote ulipo ___ WATAALAMU WA MAJI [UCHIMBAJI VISIMA NA MIFUMO YA MAJI] ∆ 6 months ya warranty na marekebisho (matengenezo) ya BURE pamoja na usimamizi wa kisima kwa miezi sita __ KWA MAHITAJI YA: 1) Geophysical Survey 2) Water Well Drilling Services 3) Water well Flushing And Rehabilitation 4) Pump Installation And Services USHAURI NI BURE | Catch Us Through 0718600290 | 0745687585 | 0629270290 We Offer Intelligent And Professional Water SolutionsView attachment 2355164View attachment 2355167View attachment 2355168View attachment 2355165View attachment 2355166View attachment 2355169
FURAHA YETU: Ni... √ Kukuona UNATIMIZA NDOTO YAKO ya kua na kisima chako cha maji safi kwenye eneo lako (nyumbani, shambani, gereji nk) √ Kukupa MUONGOZO na USHAURI wa namna sahihi ya matumizi na uangalizi wa kisima chako √ Kukupa USAIDIZI na MATENGENEZO ya kisima chako wakati wowote na mahali popote ulipo ___ WATAALAMU WA MAJI [UCHIMBAJI VISIMA NA MIFUMO YA MAJI] ∆ 6 months ya warranty na marekebisho (matengenezo) ya BURE pamoja na usimamizi wa kisima kwa miezi sita __ KWA MAHITAJI YA: 1) Geophysical Survey 2) Water Well Drilling Services 3) Water well Flushing And Rehabilitation 4) Pump Installation And Services USHAURI NI BURE | Catch Us Through 0718600290 | 0745687585 | 0629270290 We Offer Intelligent And Professional Water SolutionsView attachment 2355164View attachment 2355167View attachment 2355168View attachment 2355165View attachment 2355166View attachment 2355169
feisar wa moro JF-Expert Member Joined Mar 17, 2020 Posts 371 Reaction score 865 Sep 13, 2022 #2 Nikichimba kisima Kama icho navutaje maji kwa ajili ya kumwagilia shambani?
LOVE U JF JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 2,157 Reaction score 1,679 Sep 13, 2022 #3 Nipo Kisarawe eneo la Maneromango, kupata huduma yenu itaghalimu bei gani
LOVE U JF JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 2,157 Reaction score 1,679 Sep 13, 2022 #4 LOVE U JF said: Nipo kisarawe eneo la maneromango , kupata huduma yenu itaghalimu bei gani, pia huwa nasikia kuchimba kisima lazima uwe na kibari je hilo likoje ufafanuzi tafadhari Click to expand...
LOVE U JF said: Nipo kisarawe eneo la maneromango , kupata huduma yenu itaghalimu bei gani, pia huwa nasikia kuchimba kisima lazima uwe na kibari je hilo likoje ufafanuzi tafadhari Click to expand...
A abasi yahya Member Joined Aug 19, 2015 Posts 8 Reaction score 23 Apr 5, 2023 Thread starter #5 LOVE U JF said: Nipo Kisarawe eneo la Maneromango, kupata huduma yenu itaghalimu bei gani Click to expand... 1. Survey: 300,000/= 2. Uchimbaji kisima: 80,000/= kwa mita 3. Ufungaji wa pump unategemea na urefu wa kisima
LOVE U JF said: Nipo Kisarawe eneo la Maneromango, kupata huduma yenu itaghalimu bei gani Click to expand... 1. Survey: 300,000/= 2. Uchimbaji kisima: 80,000/= kwa mita 3. Ufungaji wa pump unategemea na urefu wa kisima
A abasi yahya Member Joined Aug 19, 2015 Posts 8 Reaction score 23 Apr 5, 2023 Thread starter #6 feisar wa moro said: Nikichimba kisima Kama icho navutaje maji kwa ajili ya kumwagilia shambani? Click to expand... Tunafunga pump kwa ajili ya kuvuta maji
feisar wa moro said: Nikichimba kisima Kama icho navutaje maji kwa ajili ya kumwagilia shambani? Click to expand... Tunafunga pump kwa ajili ya kuvuta maji
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,544 Reaction score 4,472 Jul 17, 2023 #7 Kazi nzuri
P political Engineer 2 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2014 Posts 296 Reaction score 794 Jul 19, 2023 #8 Hii Huduma mkoani mnafika?