Kwamtazamo wangu wewe ilipaswa useme unatafuta eneo la kupangisha na liwe eneo la barabarani kwa aina ya biashara unayo taka kuifanya.
Hayo mambo ya kugawana faida, niliwahi kujikuta namjibu mtu flani kwamba hiyo ni biashara yake na mpango wake sio mpango wangu.
Na kuhusu umiliki wa baadae sio tija mkuu, welipa kodi, zingatia vigezo na masharti kisha endelea na biashara yako.