dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 798
- 697
Ilimla hadi MARLAWUkijiingiza zaidi kwenye siasa na hasa ccm ujue we kwisha habari yako! wako wapi akina Mrisho Mpoto na afande SELE!
Mnawazaga nn kabla ya kupost wazee?..katika akili ya kawaida aliyepo hatarini zaidi ni Diamond coz list ya wasiopatana nae inazidi kuwa kubwa, bt mnampaga u Mungu mtu kama vile hawezekaniki isn't true..Diamond mwenyewe akiamua kuwa mkweli huenda ALI KIBA ni mmoja wa role models wake (kama unafatilia Muziki tangu zamani itakuwa umeelewa)..mnataka kumfanya Diamond n kama dude kuuuuuuubwa lililoshindkana siyo kweli mzee, nadhani ulipaswa kumfikiria yeye zaidi kwamba vipi mkuu mbona Kila siku maadui wanaongezeka dhidi yako?.. Kiba mwaka wa 17 now kwenye game wamekuja watoto kibao akina jux,Ben pol,belle,Ommy dimpoz ambao kimsingi tulitegemea ndo wangemchallenge diamond bt haikuwah kuwa bt ikawa ALI KIBA ulishajiuliza why?..hata Diamond mwenyewe anajua HATARI na ATHARI za KIBA kwenye bongofleva industry na ndo maana alikuwa akimuandama bt jamaa anakausha Kiba hayupo kuu sababu ya bifu harmo Leo kaachia ngoma 18 yaani albam sasa ngoja Kiba atoe ngoma 1 afu uone impact yake ndo utaelewa vizuri nn namaanisha...mwambieni Mondi apunguze kuvimba hali inazidi kuwa tete.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnawazaga nini kabla ya kupost wazee?..katika akili ya kawaida aliyepo hatarini zaidi ni Diamond coz list ya wasiopatana nae inazidi kuwa kubwa, bt mnampaga u Mungu mtu kama vile hawezekaniki isn't true..Diamond mwenyewe akiamua kuwa mkweli huenda ALI KIBA ni mmoja wa role models wake (kama unafatilia Muziki tangu zamani itakuwa umeelewa)..mnataka kumfanya Diamond n kama dude kuuuuuuubwa lililoshindkana siyo kweli mzee, nadhani ulipaswa kumfikiria yeye zaidi kwamba vipi mkuu mbona Kila siku maadui wanaongezeka dhidi yako?..
Kiba mwaka wa 17 now kwenye game wamekuja watoto kibao akina jux,Ben pol,belle,Ommy dimpoz ambao kimsingi tulitegemea ndo wangemchallenge diamond bt haikuwah kuwa bt ikawa ALI KIBA ulishajiuliza why?..hata Diamond mwenyewe anajua HATARI na ATHARI za KIBA kwenye bongofleva industry na ndo maana alikuwa akimuandama bt jamaa anakausha Kiba hayupo kuu sababu ya bifu harmo Leo kaachia ngoma 18 yaani albam sasa ngoja Kiba atoe ngoma 1 afu uone impact yake ndo utaelewa vizuri nn namaanisha...mwambieni Mondi apunguze kuvimba hali inazidi kuwa tete.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikufaham hunifaham, uhusiano wa Baba na Mama yangu unaujua ukoje? Changia mada achana na mimiUnaacha kumtakia Mema Baba na Mama yako na nduguzo unakomalia na kuanzisha kampeni kumtakia mema mtu ambae hakujui wala hata Time na wewe
Inawezekana ikawa sababuUkijiingiza zaidi kwenye siasa na hasa CCM ujue we kwisha habari yako! wako wapi akina Mrisho Mpoto na afande SELE!
Mondi alipomwacha Tanasha kuna uzi nilileta hapa na kusema Mondi siku zinavyokwenda kwa tabia zake ataonekana "fake" na itampotezea mashabiki kwenye ukanda wa EAST AFRIKA. Nilipigwa madongo sana hapa kwa hoja zile.mwambieni Mondi apunguze kuvimba hali inazidi kuwa tete.
Nyakati huwezi shindana na Nyakati.
Halafu sasa kwa kuna Harmonize media zote zilizokua na ugomvi na Diamond zinamsapoti harmonize,watesi wake wote wa zamani wapo na dogo na dogo amewakumbatia hili nadhani ndo kubwa linalomtesa maana siku zote bora akushambulie jirani wala hutaumia sana kuliko akikushambulia mwanao maana anakujua angle karibia zote anajua akuguse wapi utaumia.
Juzi Diamond alisapoti album ya Harmonize haijulikani ni kwa nia njema au kinafki lakini dogo wala hakurespond kabisa na hata alipoulizwa amejibu kuwa post na coment nyingi anashindwa kujibu zote lakini ukiangalia post za mwijaku na wengineo amezijibu ila ya boss wa zamani hajajibu tayari stress zinaongezeka kwa mzee chibu ni kitu alishawahi kuimba kwenye UTANIPENDA.
Pia Hamonize nahisi amejua ili azidi kuwa juu lazima autumie msuguano wake na Diamond kufika mbali ndani ya nchi, maana inajulikana wazi yeyote anayeingia bifu na Diamond lazima atapata busta rejea kwa Ali Kiba. Hii vita yao inamuumiza zaidi Ali kiba maana sasa ndo kwaheri atasikika ila si kama zamni watu umakini wameuhamishia kwa Harmonize na pia Diamond anapaswa kujua Harmonize sio kama Ali kiba aliyelala Harmonize ni mjanja anazojua fitna pia.
Sent using Jamii Forums mobile app