Maneno yamekuishia eeeh, mpe ushauri mwenzako wacha kigugumiziwallah nimekosa ushauri katika thread hii ngumu yenye maskitiko na majuto,,,ila inshallah mungu yupo pamoja na wewe naamini kila lenye mwanzo halikosi mwisho,,,, inshallah yatakwisha na utasahau kama yalikukuta inshallah kheri mpenzi wangu hiyo ni sehemu tuu ya maisha,,,na ukiangalia mitihani tulioumbiwa ni sisi wanadam,,,,mungu awe pamoja na wewe eliza,,,wish you all the best,,,,,,,,
Maneno yamekuishia eeeh, mpe ushauri mwenzako wacha kigugumizi
My take:-
Kaa ongea na huyo mwenzio kwa undani, serious pasipo masihara ujue mustakabali wako kama nikuchukua cha kwako uchukue mapema ukatunze wanao na yeye umwache na wanae, husitake kupata divorce ya pili dada yangu,
Asante, ila wasiwasi wangu ni Mhe. hashy akipita huku nahisi na wewe hutokwepa divorcebasi na mimi mawazo yangu kama yako,,,,eeee tena nini??????? kufa kufaana.... nimekufa umenifaa mokoyo
Asante, ila wasiwasi wangu ni Mhe. hashy akipita huku nahisi na wewe hutokwepa divorce
Asanteni sana kwa ushauri, kweli natakiwa kuchukua maamuzi magumu, pamoja na ushauri wenu Mungu atanisaidia. Thank you soo much.
kwenye kikao nilikuwepo kama observer tu, kosa hujafanya ila yule Mhe namfahamu anapoona kuna mtu anapata hata asante toka kwako, roho utafikiri inang'okakwani mie nimefanyaje na wewe??????? sijafanya kosa mie,,,,hiyo kusema umenifaa khaaa,,,, ngoja aje nyongo mkalia ini ndio atanifaa zaidi kama we wataka nchongea tena,,na invyoonyesha we jana ulihuzuria kwenye kikao cha finest,,,afrodenziii,,,na hash,,, sasa ngoja wasikie hizi habariii,,,,,
kwenye kikao nilikuwepo kama observer tu, kosa hujafanya ila yule Mhe namfahamu anapoona kuna mtu anapata hata asante toka kwako, roho utafikiri inang'oka
Tulifahamiana miaka miwili iliyopita, wote tulikua divorced, kila mmoja ana watoto tayari, watoto wangu niliwaacha kwetu wa kwake tunaishi nao!
Wote ni wafanya biashara, tukaamua kuunganisha biashara zetu tukawa na kampuni mmoja,Yeye akawa na 75 shares na mimi 20 shares.
Tukaanza maandalizi ya kuoana, kabla ya ndoa ilibidi tuanze kuishi pamoja kwa kuwa mmoja wetu si Mtanzania ili tuweze kufanya taratibu za kisheria ndio tufunge ndoa.
Sasa naona siku zinaenda mwenzangu amerilax ukimuuliza anajibu your my wife don't worry. Mtoto wake mmoja hataki hata kuniona kila siku ni visa vya hapa na pale, na yeye mwenzangu anasema mimi ndio sina hekima ya kuishi na huyu mtoto. Inafika hata mahali ananitukana mbele ya wageni!!
sisi wote ni watu wazima umri kati ya miaka 40 kuendelea,
Je nifanye nini? Naomba ushauri wako.
kwani mie nimefanyaje na wewe??????? sijafanya kosa mie,,,,hiyo kusema umenifaa khaaa,,,, ngoja aje nyongo mkalia ini ndio atanifaa zaidi kama we wataka nchongea tena,,na invyoonyesha we jana ulihuzuria kwenye kikao cha finest,,,afrodenziii,,,na hash,,, sasa ngoja wasikie hizi habariii,,,,,
Mmh mapenzi ya upande mmoja hayafai. Hebu ongea nae vizuri ujue msimamo wake.
Halafu ujijue sababu za wewe kuachika ndoa ya kwanza. Isije ikawa wewe ndio una matatizo. Na yeye pia kilichomfanya aachane na mke wake, hata yeye anaweza kuwa mtata.
Kumbe vizee vinasumbua navyo.
Nilitaka nijiopolee libabu...lol!
Asanteni sana kwa ushauri, kweli natakiwa kuchukua maamuzi magumu, pamoja na ushauri wenu Mungu atanisaidia. Thank you soo much.