ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,049
- 61,375
Na wewe kuna kitu ambacho unakifanya kina madhara.wote sisi Ni wahanga wa vitu kwa kujua au kutokujuapole kwa matatizo, niseme tu ukweli huwa namdharau sana anayetumia ugoro.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ulikuwa Ni mwanzo baadae ukilizoea stimu lake inakuwa yente..kinachonikera ni harufu yake TU na muonekano wake..Kama mavidaaa nakumbuka nilipiga chafya nkahisi Israel anabisha hodi rohoni
Wale wana JF tunaotupia dawa(kamchongo) tujuane haPa.huu hapa Kuna jamaa yangu kanikeletea kutoka kigamboni Ni mkali balaa.napenda kaudongo kale ambacho kana moisture kwa mbali sio Kama huu wa Masai wa buguruni mkavu Sana halafu hauna vibe ukiuweka unaanza kusambaa mdomoni... hii kitu ikikunasa Ni noma unaweza kujikuta unaumwa kumbe kisa umekosa hii kitu ya kwa bibi sometimes huwa nashikwa arosto kinyama so nikiamka tu asubuhi break ya kwanza kwa Masai.nilianza kula ugoro baada ya kugundua unakata hamu ya kuvuta sigara na pia unaleta njaa halafu mi kipindi Hiko nilikuwa Sina appetite kabisa ilinibist nianze kutumia.sasa hivi nimeshakuwa addicted nao.View attachment 1050101
Wanakataza lakini Sasa polisi wengi na wenyewe wanatupia hii kitu so akikukamata anakuomba anakuchukulia kidogo anakwambia fureshi tembeaHivi polisi akikukamata na hii kitu anakusweka lupango au hii sio kesi kama ilivyo bhange na miraa mkuu...?
Wanakataza lakini Sasa polisi wengi na wenyewe wanatupia hii kitu so akikukamata anakuomba anakuchukulia kidogo anakwambia fureshi tembea
Ina stimu Kama la POMBE ila linaisha haraka.ndani ya dakika kumi vibe linapotea..ila pia linawahi kushikika.ukitupia TU ndani ya sekunde unasikilizia
Dah..!Huo ulikuwa Ni mwanzo baadae ukilizoea stimu lake inakuwa yente..kinachonikera ni harufu yake TU na muonekano wake..Kama mavi