ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,049
- 61,375
Sawa hata Mimi nakula POMBE Tena sijagui wanzuki,mnazi mbege mtukuru highlife k vant gongo nzela nk..ila kwenye draft me Ni mkali Sana aminiMimi nacheza draft za beers tu hapa nyagi,pale Serengeti,balimi etc
Heheheehe kama kweli vile.Mimi nacheza draft za beers tu hapa nyagi,pale Serengeti,balimi etc
NilikuhamuHeheheehe kama kweli vile.
Haya naja tucheze wote
Siku zote hizo hukinai tuu?Nilikuhamu
Siwez kukukinahi wew..Siku zote hizo hukinai tuu?
Hio league yenu haina ushindani Kama ya kwetu mzee mwenzangu huku kwetu mambo Ni Moto watu wanaweka mpaka wake zao bond kwamba ukimfunga anakupa mke, yeye akikufunga unampa buku 5.na bado hao wote kwangu wanapeleaJuzi nimetoka kuchukua mbuzi aiseeee ninalicheza tofauti na unaowafikilia uliowah kucheza nao yani ni hataree
Unamfaham mangwerere wa pale mwembe yanga?Hio league yenu haina ushindani Kama ya kwetu mzee mwenzangu huku kwetu mambo Ni Moto watu wanaweka mpaka wake zao bond kwamba ukimfunga anakupa mke, yeye akikufunga unampa buku 5.na bado hao wote kwangu wanapelea
Huyo simfaham kwa kweli itabidi nimfuatilie weekend ijayoUnamfaham mangwerere wa pale mwembe yanga?
Huyo simfaham kwa kweli itabidi nimfuatilie weekend ijayo
Wakubwa mnafaidiiii....mimi wa Pepsi natuliaaa zangu .Heheheehe kama kweli vile.
Haya naja tucheze wote
Mwambie huyo hajui hao ndo wachezaji wa tzHuwezi kuwa unajua draft halafu uwe hujalisikia hilo jina.