C Chal Senior Member Joined Oct 7, 2010 Posts 128 Reaction score 52 Jun 15, 2011 #1 Wakuu, Katika bajeti ya serikali inayojadiliwa bungeni, serikali imejipanga kukopa fedha ili kulipa deni lililoiva. Hivi hii ndiyo busara ya dawa ya deni kulipa? Nawasilisha.
Wakuu, Katika bajeti ya serikali inayojadiliwa bungeni, serikali imejipanga kukopa fedha ili kulipa deni lililoiva. Hivi hii ndiyo busara ya dawa ya deni kulipa? Nawasilisha.