Duuh bora umenipa mwanga aisee.Shida ni kuwa kampuni nyingi za drilling ni za Wahindi au wageni ambao kwa sehemu kubwa wamejikita kwenye mining sector, na hii moja (Maswi) imejikita zaidi kwenye borehole. Lakini kulingana na maelezo ya kampuni hii nilijifunza pia kwamba drilling industry imevamiwa na wageni ambao hasa ndiyo wasumbufu kuliko hata hao Maswi maana kampuni mojawapo ilikuwa INA charge around 300,000/= per m sq
Hello vipi??1/tunachimba visima kwa dar es salaam elf sitini na tano (65,000) chimba mikoa yote tanzania bei maelewano gharama zetu nafuu sansa)
2/tunasafisha pump na compressor
3/tunapima maji yanapatikana mitangapi kwenda chini
4/tunatoa pump zilizo katikia ktk visima chini gharam zetu ninafuu sana napia tunafika mkoa wowote
5/ tuna compressor kubwa ya kuflashia visima catapila
tunakaribisha visima vya miradi mbalimbali (makanisa misikiti mshirika n.k) gharamazetu ninafuu sana
6/kuja saiti kwa hapa dar es salaam pia Kwa ushauri tunakuja
tuna mashine za kisasa kutoka u.s.a mpya kabisa tunachimba popote ndani ya tanzania
(tanzania kuwa na maji mengi inawezekana karibuni)
0712690760
Sikupima kaka, niliwaambia tu wachimbe mpaka wakute maji,Ulipima kabla yakuchimba mkuu mana muda mwingine huwa tunashauri watu wapime Kwa watu walio sajiliwa na Pima Visima vinachimbwa nawatu walio sajiliwa ili kuhepu kupata matatizo km haya ila ulini pm nimekujibu mkuu pole San Kiongozi
Hilo mkuu haliwezekani. Shimo likishawekwa pvc pipe pamoja na changarawe, huwezi kung'oa tena pvc. Unabidi tu ufanye survey pengine ili uchimbe penginepo tena.Hello vipi??
Mi nlichimba kisima Mkoa wa Pwani, wilaya ya Kibiti mita 60 nikapata maji, nikatosa na PVC kabisa, kuja kuvuta after a week yakaisha.
Sasa nataka nichomoe zile PVC nichimbe pale pale kwenda chini zaidi another 60 meters ili kiwe kisima cha mita 120,
Inawezekana??
Kama ndio, Gharama zako zitakuaje??
Hadi kununua hiyo mitambo hawezi kushindwa kutimiza haya matakwa.Weka vibali vya usajiri wa kazi zako zote ulizotaja. Kumbuka kwa mujibu wa sheria ya usimamizi wa rasilimali za maji namba 11 ya mwaka 2009 na kanuni zake.
1. Kampuni lazima isajiliwe na wizara ya maji ili iweze kufanya hizo kazi.
2. Mitambo ya uchimbaji lazima isajiliwe.
3. Wachimbaji lazima wasajilowe.
4. Wanaofanya utafiti kujua maji yapo kina gani lazima wasajiliwe.
Sasa wewe tuwekee hapa hivyo vyeti vya usajili la sivyo mawasiliano uliyotoa yatatumika kukukamata kama mchimbaji haramu.
Siyo kila eneo lin maji chini ya ardhi.Sikupima kaka, niliwaambia tu wachimbe mpaka wakute maji,
Kwa kesi yangu nimekuuliza pale juu kua unaweza kunisaidia??
PM sijaona jibu kaka
Dah,Hilo mkuu haliwezekani. Shimo likishawekwa pvc pipe pamoja na changarawe, huwezi kung'oa tena pvc. Unabidi tu ufanye survey pengine ili uchimbe penginepo tena.
Kwa Dar mko sehemu gani nahitaji huduma1/tunachimba visima kwa dar es salaam elf sitini na tano (65,000) chimba mikoa yote tanzania bei maelewano gharama zetu nafuu sansa)
2/tunasafisha pump na compressor
3/tunapima maji yanapatikana mitangapi kwenda chini
4/tunatoa pump zilizo katikia ktk visima chini gharam zetu ninafuu sana napia tunafika mkoa wowote
5/ tuna compressor kubwa ya kuflashia visima catapila
tunakaribisha visima vya miradi mbalimbali (makanisa misikiti mshirika n.k) gharamazetu ninafuu sana
6/kuja saiti kwa hapa dar es salaam pia Kwa ushauri tunakuja
tuna mashine za kisasa kutoka u.s.a mpya kabisa tunachimba popote ndani ya tanzania
(tanzania kuwa na maji mengi inawezekana karibuni)
0712690760