Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,110 Reaction score 2,787 Nov 8, 2016 #1 Wakuu wa nchi habari za mihangaiko .Tuna machine za kuchimba visima vya maji .tunatumia machine za kisasa kwa anayehitaji huduma hii please tuwasiliane please. Attachments 1478589187581.jpg 38.5 KB · Views: 53
Wakuu wa nchi habari za mihangaiko .Tuna machine za kuchimba visima vya maji .tunatumia machine za kisasa kwa anayehitaji huduma hii please tuwasiliane please.
Sethshalom JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 593 Reaction score 1,030 Nov 8, 2016 #2 Weka contacts na mnapatikana wapi, maana physical address ni mhimu in case mme-default kwenye mkataba mtu ajue atawakaba wapi
Weka contacts na mnapatikana wapi, maana physical address ni mhimu in case mme-default kwenye mkataba mtu ajue atawakaba wapi