Tunachimba visima vya maji

Martin Mhina

Senior Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
169
Reaction score
37
1. Tawa Water Professionals ni Company bora inayo chimba visima vya maji kwa bei nzuri kwa matumizi Ya nyumbani, Umwagiliaji wa mazao shambani utachimbiwa popote ulipo

2. Bei kwa maeneo ya karibu na Dar kwa kila mita moja ni Tsh 65000 utafungiwa Pump, Tsh 70000 utafungiwa Pump na Flashing, Tsh 80000 utafungiwa Pump, flashing,water test na Tank la maji

3.Kwa Mikoani Bei kwa mita ni Tsh 75000 utafungiwa Pump, Tsh 85000 utafungiwa Pump na Flashing, Tsh 100000 utafungiwa Pump, Flashing, Water test na Tank
Pia ukihitaji Surveyor wapo karibu sana, Ofisi zipo Gongo La Mboto.

Kwa mawasiliano 0714994833/0788293736
Email martinimhina@gmail.com
 
Kwa mikoani mnafanya survey za aina gani na bei gani?
 
Mkuu kwa mikoan tufanya survey za water teble kwa kugharamia usafiri na maradhi wafanya almost 2/3 day na gharama za surveyor ni laki nne mkuu
Kwa mikoani mnafanya survey za aina gani na bei gani?
 
Pump aina gani?
Pumpu tunakufungia kutokana na wingi wa maji na urefu wa kisima ila tunafunga pump kuanzia 1.5hp mpaka 3 hp mkuu pamoja na tank kuanzia Lita 2000 + mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…