tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Mkuu kwa "kawaida" hua mnachimba mpaka mita ngapi ili kuyafikia maji au kuikamilisha hiyo kazi ya uchimbaji?
Mikoani hadi mita 200 sio 60 tuMaranyingi inategemea na muinuko kutoka water table.
Kwa maeneo ya mikoani nadhani unaweza kwenda mpaka 60m
Sent using Jamii Forums mobile app
mfano kwa huku morogoro kijiji kinachoitwa mkono wa mara inaweza kufika mita ngapi hadi kupata maji na gharama zakezipoje kwa kila meter kwa mkoani morogoro?
mfano kwa huku morogoro kijiji kinachoitwa mkono wa mara inaweza kufika mita ngapi hadi kupata maji na gharama zakezipoje kwa kila meter kwa mkoani morogoro?
ok,shukrani nimekuelewa ndugu yanguMkono wa mara mita 70 hadi 90 na bei ni laki moja na ishirini kwa mita moja maana huko ni hard rock
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuranga mkuu ni inawezekana kuwa na mita ngapi?
Nina kiwanja Toangoma maeneo ya funcity je maeneo yale unaweza kupata kita ngapi ili ukutane na water table? Nahitaji hudumaTAWA WATER PROFFESONAL
Tunachimba visima vya maji na kufanya utafiti wa maji ardhini ( Underground water survey) kwa ghalama nafuu kabisa
Bei ya Uchimbaji kwa wateja wa Dar es salaam ni elfu hamsini kwa mita moja (Tshs 50000) na wateja wa mkoa wa pwani ni elfu sitini kwa mita moja (Tshs 60000)
Tutakuwekea Bomba Upvc,Pampu pamoja na kukusafishia kisima chako .
Ukichimba na sisi tunakuwekea na tenki la maji bure kabisa
Mawasiliano: 0625 576082
0764 418248
Tupo Dar es salaam Chanika-Msumbiji
Hili ni Punguzo kwa mwaka Mpya.View attachment 988593View attachment 988594
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina kiwanja Toangoma maeneo ya funcity je maeneo yale unaweza kupata kita ngapi ili ukutane na water table? Nahitaji huduma
Sent using Jamii Forums mobile app
Je huduma ya kupima hayo maji mnayo chimba mnaitoa? Kama ndiyo ni kwa gharama gani na kama siyo ni kwa nini hamtoi?
Mnaweza kufufua kisima kilichochimbwa halafu kikatelekezwa na fundi?
Mlishawai chimba wilaya ya Handeni ? Nipeni experience yenu nataka ikiwezekana nichimbe huko
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
I will consult you guysTAWA WATER PROFFESONAL