water well driller
Member
- Nov 10, 2015
- 45
- 1
Ikiwa hii bei ni sawa na bure (offer), je bei ya kawaida isiyo na offer hua inakuaga ni shilling ngapi kwani?Tunachimba visima bei ni TZS 70,000/= kwa mita moja na hii bei ni kwa wale waliopo Dar es salaam ila kama upo nje ya Dar es salaam tunachimba Laki moja kwa mita moja. Tunafunga Pampu pamoja na kukupa Tanki la Lita 1000 au 2000.
Tupo Dar es salaam
Tuwasiliane kupitia namba 0659839446..
Ningepata wastani wa mita labda ningeanza kuandaa bajeti.
kwa urefu mnafikia hadi ngapi
kwa urefu mnafikia hadi ngapi
Ukichimba kisima na kama maji ni ya chumvi, je kuna njia yoyote ya kuyafanya yawe baridi?Tunachimba visima bei ni TZS 70,000/= kwa mita moja na hii bei ni kwa wale waliopo Dar es salaam ila kama upo nje ya Dar es salaam tunachimba Laki moja kwa mita moja. Tunafunga Pampu pamoja na kukupa Tanki la Lita 1000 au 2000.
Tupo Dar es salaam
Tuwasiliane kupitia namba 0659839446..
Ukichimba kisima na kama maji ni ya chumvi, je kuna njia yoyote ya kuyafanya yawe baridi?
Ukichimba kisima na kama maji ni ya chumvi, je kuna njia yoyote ya kuyafanya yawe baridi?