Ndugu Zangu Em Tusaidien Hata Kwa Mawazo. Si Tulifanya Intv Serikalin Kwa Mwanasheria Mkuu Sept 29, Majib Yakatoka Oct. Barua Zetu Hazikuonesha Vituo Vya Kazi Ila Tulienda Kuriport Kwa AG. Wakatwambia Tungeitwa Wik Iliyofata, Jaman Mpaka Leoo, Tunaenda Mwez Wa 4 Sasa. Tunashindwa Kufanya Maaamuz Jaman.
Tunashare tatizo 1, pale kwa AG ndio watapanga vituo pamoja na vya mikoani km lile tangazo la ajira linavyoonesha. Me dec. 2014 nlienda kuliza nkambiwa wanajipanga oz tuko karbia 300. Tatizo hatuambiwa ni lini hasa kwasababu kila kitu kina time frame. Labda wadau watushauri kidogo.
Last Wk Nilifika Pale Nikaambiwa Hakuna Pesa. Hapo Sasa. Lini Basi Ztakuepo? Coz Wengne 2na Familia. Potelea Mbal Kipato Kuna Mambo Yanakua Kwenye Plan
Pole sana@Rayd ni watsup 0758488503 nikuelekeze mbadala wa ajira wakati ukiingoja serekali
Ukiona Manyoya Ujue Kaliwa!
Pole sana@Rayd ni watsup 0758488503 nikuelekeze mbadala wa ajira wakati ukiingoja serekali
Mdau hawa wameshapewa barua za kuitwa kazin bado kuanza tu, mda wa kuitwa kuanza ndo umekuwa mrefu, rejea thread ndo ukurupuke.
Yan haya majanga na mimi yyamenikuta, AG aamekuwa kimya sana hata mahakama pia zile nafasi za hakimu mkazi wametuacha tu pending hakuna kituo sijui shida ni nin