shughuli haikuwa nyepesi wana JF kwani imetuchukua zaidi ya masaa 7 kuccomand matokeo yawe released na kuhakikisha kuwa hakichakachuliwi kitu..
mbunge wetu Msigwa ( CHADEMA -iringa mjini ) kapita..ila madiwani ndo kuna utata kura zimehesabiwa upya kwani hatukujua kimetokea nini ila madiwani wetu wameshindwa..mbunge wetu katuaidi mambo yatakuwa poa zaidi..
:israel:
kwamba wanamageuzi walikua wanapiga kura ya ubunge kwa chadema afu udiwani kwa ccm, sitegemei sehemu tulizoshinda ubunge tusipate majority katika udiwani, unless wachakachue