Baba_Swalehe
Member
- Dec 10, 2018
- 8
- 9
Tumekosea kumpa jose nafasi ya kuwa kocha Wetu Tukijua wazi tunawachezaji wanaoweza kucheza aina flani ya mpira tu (attacking), Tulikosea kutopata director of football maana asingesajili ujinga alipsajili Mou... Pia tunakosea kumuacha Mou aendelee kuwa kocha huku tukiacha icardi aendelee kuwepo interMan u ni timu inayoongoza kwa mashabiki duniani hiyo imetokana na soka lake mrua lilio kua linapigwa kipini cha 1999's mpaka 2010 man u ilifanikiwa kusomba mashabiki pande zote duniani
Tokaea Sir.Alex kuondoka man u imepata msuko msuko mkubwa ilikabiziwa kwa moyes lakn aliishindwa akapatiwa Van gaal ambaye alifanikiwa kidogo na kutwa FA cup ikapatishwa tena kwa jose mourinho kocha aliyepata mafanikio katka msimu wa kwanza lakn msimu wake wa pili unasua sua sana
TUMEKOSEA WAPI kama wachezaji tunao wakimataifaaa wazuri mno kina sanchez,pogba,lukaku,maticDe gea lakini licha ya kuwa na uwanja mpana wa kikosi lakin bado tynacheza hovyo hapa ndo na baki kujiuliza TUMEKOSEA WAPI? View attachment 969444
Hakuna ilipokosea Man u ni hali ya mpito ambayo hutokea kwa klabu nyingi. Josee ni kocha mzuri na anastaili kuwepo MANU ila kundi la wachezaji tulionao wanavipaji ila wengi ni wavulana (boys) hawajui wafanyaje wapate matokeo. Kocha anafanya kila analoweza ila wachezaji wanahitaji muda ili wafanye vizuri. Kwasasa hakuna kocha atakae kuja MAN U akakupa kama alichokua anafanya Furguson.Tumekosea kumpa jose nafasi ya kuwa kocha Wetu Tukijua wazi tunawachezaji wanaoweza kucheza aina flani ya mpira tu (attacking), Tulikosea kutopata director of football maana asingesajili ujinga alipsajili Mou... Pia tunakosea kumuacha Mou aendelee kuwa kocha huku tukiacha icardi aendelee kuwepo inter
😁😁😁😁United mnamtafuta mchawi,mchawi wenu morinho tuMan u ni timu inayoongoza kwa mashabiki duniani hiyo imetokana na soka lake mrua lilio kua linapigwa kipini cha 1999's mpaka 2010 man u ilifanikiwa kusomba mashabiki pande zote duniani
Tokaea Sir.Alex kuondoka man u imepata msuko msuko mkubwa ilikabiziwa kwa moyes lakn aliishindwa akapatiwa Van gaal ambaye alifanikiwa kidogo na kutwa FA cup ikapatishwa tena kwa jose mourinho kocha aliyepata mafanikio katka msimu wa kwanza lakn msimu wake wa pili unasua sua sana
TUMEKOSEA WAPI kama wachezaji tunao wakimataifaaa wazuri mno kina sanchez,pogba,lukaku,maticDe gea lakini licha ya kuwa na uwanja mpana wa kikosi lakin bado tynacheza hovyo hapa ndo na baki kujiuliza TUMEKOSEA WAPI? View attachment 969444
3-1 hamna kocha mnamsimamizi wa mazoezi, game Liverpool washakubali badala ya kucheza unalinda,nadhani kocha wenu amewahi kuwa sungusungu miaka ya nyumaMan u ni timu inayoongoza kwa mashabiki duniani hiyo imetokana na soka lake mrua lilio kua linapigwa kipini cha 1999's mpaka 2010 man u ilifanikiwa kusomba mashabiki pande zote duniani
Tokaea Sir.Alex kuondoka man u imepata msuko msuko mkubwa ilikabiziwa kwa moyes lakn aliishindwa akapatiwa Van gaal ambaye alifanikiwa kidogo na kutwa FA cup ikapatishwa tena kwa jose mourinho kocha aliyepata mafanikio katka msimu wa kwanza lakn msimu wake wa pili unasua sua sana
TUMEKOSEA WAPI kama wachezaji tunao wakimataifaaa wazuri mno kina sanchez,pogba,lukaku,maticDe gea lakini licha ya kuwa na uwanja mpana wa kikosi lakin bado tynacheza hovyo hapa ndo na baki kujiuliza TUMEKOSEA WAPI? View attachment 969444
Morinyo hana mbinu mpya astaàfu tu akalee wajuķuu atuachie team yetu
Mkuu nipo man u na barca ila mou ni bora aachane na ukocha akàfanye shughuli nyingneMkuu! Kumbe ni fan wa Man u! Poleni sana aise...ila Mou ni nuksi pale...
Nikweli aise, anaigharimu timu...Mkuu nipo man u na barca ila mou ni bora aachane na ukocha akàfanye shughuli nyingne
Mkuu nipo man u na barca ila mou ni bora aachane na ukocha akàfanye shughuli nyingne
Aisee hata mie nimemba wa dstv now unijulishe piaMkuu, kama ulishawai kutumia app ya supersport je! inakula GB ngapi kwa mechi, i mean 90 minutes!
Sijawahi itumia mkuuMkuu, kama ulishawai kutumia app ya supersport je! inakula GB ngapi kwa mechi, i mean 90 minutes!
Sijawahi itumia mkuu