Tumbo langu limejaa gesi

Habari wana jamvi.

Naomba msaada tumbo langu naona limejaa sana gesi nashindwa mpaka kula vizuri.

sijui shida ni nini maana nakula kidogo sana tumbo linakuwa lishajaa wakati sio kawaida naomba msaada ila choo bado na pata...

ushauli tafadhali.
Hii hali ina mda gani?
Kama imekaa siku nyingi nenda hospitali kapime Kipimo cha choo cha vidonda vya tumbo na jiandae kuanza dose ya Vidonda vya tumbo ikiwa positive
 
Hii hali ina mda gani?
Kama imekaa siku nyingi nenda hospitali kapime Kipimo cha choo cha vidonda vya tumbo na jiandae kuanza dose ya Vidonda vya tumbo ikiwa positive
Kama siku 3 ivi
 
Aina madhara kiafya

Matumizi ya Magnésiamu​

Vidonge vya magnesiamu inaweza kuwa na manufaa kwa watu wanaotumia dawa fulani ambazo zinaweza kusababisha kupoteza kwa magnesiamu au kupunguza ngozi, kama vile diuretics na antibiotics. Wazee, walevi, watu ambao wana shida ya kudhibiti ugonjwa wa kisukari, na watu binafsi wanaosumbuliwa na ugonjwa wa ugonjwa wa ubongo wanaweza wote kufaidika na kuchukua virutubisho.

Kuchukua Magnesium Sana​

Kupata magnesiamu sana kutoka kwenye vyakula unachokula haipaswi sana, lakini kuchukua kiasi kikubwa cha virutubisho vya magnesiamu ya chakula huweza kusababisha kuhara na tumbo za tumbo.

Kuchukua magnesiamu nyingi kwa muda mrefu inaweza kusababisha mabadiliko katika hali ya akili, kichefuchefu, kupoteza hamu ya chakula, kuhara, udhaifu, shinikizo la chini la damu, kupumua shida na moyo wa kawaida.

Usichukue virutubisho vya magnesiamu katika dozi kubwa, zaidi ya 350 mg, bila kuzungumza na mtoa huduma wako wa afya.
 
asante kwa ushauli
 
Punguza misosi inayoweza kuongeza gas kama maharage nk halafu katafute vidonge vya magnesium vitasaidia ila uwe sehemu ambayo utakuwa comfortable kutoa gas ili usijibane utoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…