Una changamoto kwenye mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula.Probably Kuna acid nyingi inayotengenezwa ndiyo inasababisha Hali hiyo.Jambo Hilo likiendelea linaweza kukusababishia tatizo la vidonda vya tumbo.Kwa sasa jitahidi kunywa maji mengi,hususani wakati was asubuhi unapoamka.