hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 457
Discontinuekudisco ndiyo nini???
wale jamaa bana😂 kuna shkaji lilipewa ku present likajitetea haliwezi kwa sababu limeacha miwani Home wakati tuna present kwa power point,lecturer alicheka sanaHivi nyinyi mmepata tabu kama wanaoogopa kupresent!?
Usiimbe usapu alafu uliemdanganya hujasapu mnakutana wote kusapua [emoji23]
Wengi wanatetemeka pale, niliwahi soma na jamaa ukifika pres. Anatetemeka kama anakata rohowale jamaa bana😂 kuna shkaji lilipewa ku present likajitetea haliwezi kwa sababu limeacha miwani Home wakati tuna present kwa power point,lecturer alicheka sana
na kuna wale wengine wanajikuta wajanja ila wakati wa presentation wanakua kama watoto
Kuna mmoja alizimia [emoji23] yani kanajifanya kasista duu uchwara.. Mara ooh kakawa kanakimbiaga kanajifanya kanaumwa! Mungu si Evelyn Salt bhana... Siku ikawadia kanatetmeka,jasho mara minara ikakatawale jamaa bana[emoji23] kuna shkaji lilipewa ku present likajitetea haliwezi kwa sababu limeacha miwani Home wakati tuna present kwa power point,lecturer alicheka sana
na kuna wale wengine wanajikuta wajanja ila wakati wa presentation wanakua kama watoto
teh teh teh😂 mademu wa chuo wanajikuta sana mkikitana kwenye mazingira ya nje ya chuo,mkute kwenye pres au test hapo atakupigia hata magotiKuna mmoja alizimia [emoji23] yani kanajifanya kasista duu uchwara.. Mara ooh kakawa kanakimbiaga kanajifanya kanaumwa! Mungu si Evelyn Salt bhana... Siku ikawadia kanatetmeka,jasho mara minara ikakata
Sikiliza Ngoma ya Kanye West-good morning
Anakuambia "some people graduate college and they still stupid"Hatar Sana Iyo Kiongozi[emoji91][emoji1373]
Anakuambia "some people graduate college and they still stupid"
Nimecheka sanaMwaka mpya Wa masomo unaenda kuanza,vyuo mbalimbali vimeanza kupokea wanafunzi wa elimu ya juu.,nimewiwa kuandika mada hii kutokana na changamoto mbalimbali ambazo zinaweza kupelekea mdahiliwa kushindwa kuhitimu masomo ya elimu ya juu.
Kuna mambo ambayo yanaweza kumtatizo mwanachuo,yakiwemo yake binafsi na mengine yasiyo yake moja kwa moja.
MAMBO BINAFSI
1-Matumizi mabaya ya pesa na muda
hii inapelekea mwanachuo kuishiwa pesa ya kujikimu
na maisha yanakuwa magumu kwelikweli
Muda ni tatizo pia-ukiwa haujali mda ni rahisi kumiss test na kupata technical discontinue
2-Starehe za kupitiliza
kurefresh ni muhimu lakini starehe zisizo na tija kama ulevi na clubing ni hatari sana kwa mustakabali Wa elimu yako
3-Mahusiano yako na wanafunzi
Ni vizuri kuwa na mahusiano mazuri na wenzako pamoja na watu unao ishi nao hii itakupa amani
4-Siasa chuoni
Hii Inacost sana ukizingatia wakuu Wa vyuo ni makada
kuna watu pale udom miaka ya nyuma iliwapotezea muda sana
5-avoid kuzingatia sana matatizo ya kifamilia hasahasa Yale ambaye huwezi kuyatatua wakati huo
NAJUA TULIOPITIA MISUKOSUKO HII TUKO WENGI HUMU KWA FAIDA YA WENGINE LETS SHARE THE EXPERIENCE
Kwa mwandiko huu Inaonesha wewe ni bogus & hujitambui.dah kwe issue ya kupresent hapo kwe group letu tulikua na mwana mkenya anapenda shile hatari basi wengine hatukutokea kwe kuandaa kazi ye akaiandaa yote afu siku ya kupresent mzee akatoka yeye na alitk kuepresent mwnyw yote sema siku hiyo supervisor hakuwepo so akamuomb prof flan hivi mkuda aje atusimamie banah,
basi prof akaja jamaa akaanza kupresent alipofika kati akamsimamisha akasema kapumzike aje mwingine daah ilikuwa noma mzee maana slides ndio kwanza nazionea hapo mzee ila nilitembea fresh nkaja kukamatiwa padogo sana mzee. prof kuja kujua kinachoendelea ilibidi tu acheke ila hakunletea msala km wengi walivyodhani, mzee baba nlishuka shule utafikiri kazi nmeandaa mimi kumbe ndio kwanza naiona hapo
bogus anapimwa kwa mwandiko?Kwa mwandiko huu Inaonesha wewe ni bogus & hujitambui.
Hiyo namba 5 sasa hivi ni majanga vyuoni, watu wanaacha kufanya assignment eti alifiwa na jirani yao ntu nzima mpaka unanshangaa.Elimu na walimu Wana kazi sana na kizazi cha vijana wajuvi wa mambo ya shukrani kuliko ya maendeleo ya sayansi na teknolojia.Wanachojua kwenye computer ni kuangalia movies na kupiga nziki wa Harmonize na Diamond.Wana maneno mengi ila bongo zao zimelala.Mwambie akuandike hata sentensi moja ya kile alichonacho ndo utakimbia mpaka Tunduru kwa mguu kama sio nkono.Mwaka mpya Wa masomo unaenda kuanza,vyuo mbalimbali vimeanza kupokea wanafunzi wa elimu ya juu.,nimewiwa kuandika mada hii kutokana na changamoto mbalimbali ambazo zinaweza kupelekea mdahiliwa kushindwa kuhitimu masomo ya elimu ya juu.
Kuna mambo ambayo yanaweza kumtatizo mwanachuo,yakiwemo yake binafsi na mengine yasiyo yake moja kwa moja.
MAMBO BINAFSI
1-Matumizi mabaya ya pesa na muda
hii inapelekea mwanachuo kuishiwa pesa ya kujikimu
na maisha yanakuwa magumu kwelikweli
Muda ni tatizo pia-ukiwa haujali mda ni rahisi kumiss test na kupata technical discontinue
2-Starehe za kupitiliza
kurefresh ni muhimu lakini starehe zisizo na tija kama ulevi na clubing ni hatari sana kwa mustakabali Wa elimu yako
3-Mahusiano yako na wanafunzi
Ni vizuri kuwa na mahusiano mazuri na wenzako pamoja na watu unao ishi nao hii itakupa amani
4-Siasa chuoni
Hii Inacost sana ukizingatia wakuu Wa vyuo ni makada
kuna watu pale udom miaka ya nyuma iliwapotezea muda sana
5-avoid kuzingatia sana matatizo ya kifamilia hasahasa Yale ambaye huwezi kuyatatua wakati huo
NAJUA TULIOPITIA MISUKOSUKO HII TUKO WENGI HUMU KWA FAIDA YA WENGINE LETS SHARE THE EXPERIENCE
Kuna mmoja nilichezea masalo tukiwa katika ntihani.Na baadae nikaenda kula kwa kuwa mitihani ilikuwa inaendeleateh teh teh😂 mademu wa chuo wanajikuta sana mkikitana kwenye mazingira ya nje ya chuo,mkute kwenye pres au test hapo atakupigia hata magoti