Tuliopo Club Element muda huu tujuane

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,133
Walimu mda huu wamelala najua hilo, tuliobak hatuna kuuliza bei sisi tunaagiza after use tunadai invoice. Nipo hapa Haile Selassie ndani ya ukumbi wa element club lounge and bar

Njooni basi tujuane kama mpo, napiga zangu Windhoek taratibu mda huu. Please kama unapesa za kuhesabu Kwa mkono usije, staki lawama sisi huwa tunamwaga bia mezani bila kupiga hesabu. Staki wakuuliza bei.
 
Walimu wamelala[emoji23]
 
Mkuu ukimaliza hapo Karibu Hallo Jua tujumike
 
Ni mwendo wa bucket Tu.
 
Sisi walimu Mara ya mwisho kwenda club ilikua kipindi Nyerere anakaribia kutoka madarakani. Awamu zilizofuata ni njaaa na madeni tu. Mpaka visungura tunakopa tena kwa mbinde maana sisi sio walipaji wazuri
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mwl magaga umekataa teuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…