TUKTA NA RAAW KUNANI

Camp 05

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
3,012
Reaction score
2,905
TUKTA tuanawaomba viongozi wafuatilie RAAW na utendaji wake kuna Migongano iliyopelekea Taasisi zilizo chini yake kupokwa stahiki zote anazostahili mfanyakazi kupewa na mwajiri.
Kuna mstaafu kanda ya ziwa amestaafu anaendelea kuombaomba kwa wafanyakazi wenzake na hatma haieleweki na Mafao ndo hayo ana mwaka hajapewa na wengine wameanza likizo za kustaafu na hakuna dalili za kupata haki,Mkataba wa hali Bora umefinyangwa mikononi mwa RAAW na VETA ndio mhanga wa yote hayo.
Stahiki za rikizo zimefyekwa,hakuna nyongeza ya Mishahara kwa zaidi ya miaka inayokaribia minne na mkurugenzi anakaimu kwa Muda mrefu tofauti na sheria zinavyotaja kuwa sii zidi ya Miezi sita.
Mnawavuruga watoto wa wakulima hawaelewi wakimbilie wapi.
 
Mkuu wafanyakazi wana hali mbaya enzi hizi. Tumpe muda mkuu wakati anaendelea kuujenga uchumi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…