mshambuliaji sio kufunga tu kakaMfungaji bora wa timu na mchezaji bora wa timu ameshindwa kuwa mshambuliaji bora, bado naona duble duble.
Niyonzima sawa hakucheza saana(japo kapombe wamemuweka), chama je, amekosekana hata katika wale wa3 waliokuwa wanawania tuzo ya kiungo bora.
Tuzo isiwe ndio kupeana tu, wapewe wanaostahiki hapa kwa boko ni kama wamempa tu sijui kwa sababu yao ipi.
Sikatai hili, nakubaliana nawe mshambuliaji sio kufunga tu, ila sema wewe kwa kipi bocco alimzidi kagere kwa msimu huu, hiyo moja.mshambuliaji sio kufunga tu kaka
Shangaa na wewe!! Mchezaji bora wa timu ambae ni mshambuliaji, ila si mshmbuliaji bora!!1. mchezaji ambaye hajawa NOMINATED kugombea tuzo ya Kiungo bora yupo kwenye tuzo ya mchezaji bora (overall)
2. mlinzi wa kushoto aliyecheza mechi karibu zote na kucheza vizuri tu hajawa NOMINATED ila mlinzi wa kulia aliyecheza nusu msimu yupo
Si unajua tena Kila mtu anatakiwa apate.Shangaa na wewe!! Mchezaji bora wa timu ambae ni mshambuliaji, ila si mshmbuliaji bora!!
ukishamuona BASHITE mahali ujue hapawezi kuwa sawaShangaa na wewe!! Mchezaji bora wa timu ambae ni mshambuliaji, ila si mshmbuliaji bora!!
Hii comment ndio imefunga uzi huu shukran Mkuuukishamuona BASHITE mahali ujue hapawezi kuwa sawa
Sikatai hili, nakubaliana nawe mshambuliaji sio kufunga tu, ila sema wewe kwa kipi bocco alimzidi kagere kwa msimu huu, hiyo moja.
Pili! Hushangai mchezaji bora wa klabu, ambae nae ni mshambuliaji, awe mchezaji bora wa klabu ila si mshambuliaji bora, km bocco kamzidi kagere na kuwa mshambuliaji inakuwaje azidiwe na kagere kuwa mchezaji bora kwa ujumla.
Ushawahi kuona wapi T.O anakuwa kaongoza kitaifa ila kwenye shule yake yeye asiwe wa kwanza.
Uko sawa mkuu.. japo kuna mechi hasa round ya kwanza Zimbwe Jr alisugua benchi kwa Kwasi.1. mchezaji ambaye hajawa NOMINATED kugombea tuzo ya Kiungo bora yupo kwenye tuzo ya mchezaji bora (overall)
2. mlinzi wa kushoto aliyecheza mechi karibu zote na kucheza vizuri tu hajawa NOMINATED ila mlinzi wa kulia aliyecheza nusu msimu yupo