Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,502
- 8,690
Haka kamsemo ka fb na kanatumiwa sana na madada poa na machoko kamefikaje huku?Kwani yeye mwenyewe anasemaje?
Tumeona wanasema Shabalala anatakiwa yanga kapewa mkataba milioni 150 mara kuna timu tatu zinamhitaji afrika kusini, asichoelewa sasa hivi Simba ni miongoni mwa timu kubwa Afrika. Kwa nafasi yake nantimu ya Simba inavyocheza timu work anaweza kupotea jumla kwa sababu ya madalali
Msimpangie mtu maisha, anayevuja jasho uwanjani ni yeye. Kwa sasa ndio umri sahihi wa kuvuna pesa, na eneo sahihi kwake ni pale mpunga ni mrefu zaidi.Tumeona wanasema Shabalala anatakiwa yanga kapewa mkataba milioni 150 mara kuna timu tatu zinamhitaji afrika kusini, asichoelewa sasa hivi Simba ni miongoni mwa timu kubwa Afrika. Kwa nafasi yake nantimu ya Simba inavyocheza timu work anaweza kupotea jumla kwa sababu ya madalali
Nimemsikiliza anayejiita meneja wa Mohamed Hussein Zimbwe,huyo jamaa ni kilaza na hata ulimwengu wa mpira wa leo umempiga chenga na hata thamani halisi ya mchezaji wake haijui kabisa.
Acha kudanganya watu Juan Sebastian Veron aliwasha Moto gani Chelsea?Ni kawaida katika SOKA. UnaSHINE sehemu 1 unaenda kufeli sehemu ya 2!
JUAN SEBASTIAN VERON alifeli MAN U akaenda kukiwasha CHELSEA! THIERRY HENRY hakuwa na wakati mzuri JUVENTUS lakini ulizia balaa lake pale HIHJBURY na baadae EMIRATES! TORRES kakiwasha sana ATLETICO na LIVERPOOL lkn koote alikoenda baada ya LIVERPOOL alikuwa MZURURAJI tu!
SIMBA wana AJIB na GADIEL, wote kutoka YANGA! Hakuna cha maana wanachofanya pale kwa BANIANI! KELVIN YONDAN alitoka SIMBA wa Moto na akaenda kukiwasha YANGA!
MOGELLA! HAMIS GAGA! MRisho Ngassa! MWANAMTWA KIHWELU hawa waliwika SIMBA na YANGA kwa nyakati zao! Hussein Sharif "CASILLAS" alikiwasha sana MTIBWA SUGAR lkn alipokwenda SIMBA hamna alichofanya! SAID BAHAMUZI alikiwasha sana MTIBWA lkn kufika YANGA akaambulia patupu!
Juma Kaseja kakiwasha MAKONGO! Kakiwasha MORO UNITED! Kakiwasha SIMBA! Kila alipoenda anakiwasha! MANULA kakiwasha AZAM FC na bado anakiwasha SIMBA!
Kifupi sio sahihi kumlaumu SINGANO wala AJIB wala GADIEL wala DOMAYO... ni kawaida ktk soka kupanda na kushika! Ni kawaida ktk soka kuhama kutoka timu kwenda timu!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ila katika yote, naona wachezaji wengi waliotoka Simba kwa hii miaka ya karibuni na kuhamia Yanga walifanya mambo makubwa sana! Kuanzia Yondani, Amisi Tambwe, Ajib, Kessy, na wengineo wengi!Ni kawaida katika SOKA. UnaSHINE sehemu 1 unaenda kufeli sehemu ya 2!
JUAN SEBASTIAN VERON alifeli MAN U akaenda kukiwasha CHELSEA! THIERRY HENRY hakuwa na wakati mzuri JUVENTUS lakini ulizia balaa lake pale HIHJBURY na baadae EMIRATES! TORRES kakiwasha sana ATLETICO na LIVERPOOL lkn koote alikoenda baada ya LIVERPOOL alikuwa MZURURAJI tu!
SIMBA wana AJIB na GADIEL, wote kutoka YANGA! Hakuna cha maana wanachofanya pale kwa BANIANI! KELVIN YONDAN alitoka SIMBA wa Moto na akaenda kukiwasha YANGA!
MOGELLA! HAMIS GAGA! MRisho Ngassa! MWANAMTWA KIHWELU hawa waliwika SIMBA na YANGA kwa nyakati zao! Hussein Sharif "CASILLAS" alikiwasha sana MTIBWA SUGAR lkn alipokwenda SIMBA hamna alichofanya! SAID BAHAMUZI alikiwasha sana MTIBWA lkn kufika YANGA akaambulia patupu!
Juma Kaseja kakiwasha MAKONGO! Kakiwasha MORO UNITED! Kakiwasha SIMBA! Kila alipoenda anakiwasha! MANULA kakiwasha AZAM FC na bado anakiwasha SIMBA!
Kifupi sio sahihi kumlaumu SINGANO wala AJIB wala GADIEL wala DOMAYO... ni kawaida ktk soka kupanda na kushika! Ni kawaida ktk soka kuhama kutoka timu kwenda timu!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Heri zaidi ya ukorofi kwenye soka hana jipya yuleLabda kama Manager wa Tsabalala sio HENRY MZOZO, kila binadamu ana mapungufu yake lkn huyu tumpe HESHIMA yake ktk UVUMBUZI wa Vipaji! HENRY MZOZO ni Mtu wa Mpira kweli kweli! Anafanya kile wengi wasichoweza!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wenzetu huko nje wameanza zamani haya masuala, unakuta Meneja mbali ya kusoma Sports Management lakini pia unakuta amesoma Sheria za Mikataba, Wengine wanaenda mbali zaidi wanasoma mpaka PR& Marketing, walau hata kama Ana watu wanamsaidia katika kusimamia wachezaji, lakini yeye mwenyewe anakuwa na basic knowledge, kwa hiyo with time Tutafika tu,ningekuwa mimi naachana na meneja. jitu linaropoka tu linaweza kweli management. Atafute meneja timamu