Simba imara na Yanga imara huleta hamasa ya kwenda kuangalia mechi ila kama TFF mmeihujumu Simba na imeshuka kiwango kiasi hiki sioni kama kuna mzuka wa kwenda uwanjani.
Simba imara na Yanga imara huleta hamasa ya kwenda kuangalia mechi ila kama TFF mmeihujumu Simba na imeshuka kiwango kiasi hiki sioni kama kuna mzuka wa kwenda uwanjani.
Kujiandikisha ni kwa kulazimishana lakini KUHESHIMU HIZO KURA ni hiari ya msimamizi.
Mwambieni Bashite aje tuu Bar atatukuta tunatwanga mvinyo kwa wakati wetu bila hofu.
Hii inataka kuwa nchi ya kwanza duniani ya kulazimisha watu wake kujiandikisha kupiga kura.
watu wa dar ,shikilieni hapohapo,,,,
mwenye nchi alisema mkoa watakao andikisha watu wachache RC ajiandaee,,,,,,,,,
Mungu awape nini tena!!, chance ya kumtoa ndio hiyooooooooo