Kupunguza gharama kwa awamu ya 5 ni kurudisha Nyumba zote zilizouzwa kipindi cha awamu ya Tatu na kusababisha watumishi wa Serikali kupangashiwa Nyumba kwa gharama kubwa.

huna cha kujadili toa jipya ....kama kuuza nyumba kwa serikali ni haramu basi shirika la nyumba la taifa lisitishe mpango wa ujenzi na uuzaji wa nyumba za gharama nafuu kwa watanzania
Kupunguza gharama kwa awamu ya 5 ni kurudisha Nyumba zote zilizouzwa kipindi cha awamu ya Tatu na kusababisha watumishi wa Serikali kupangashiwa Nyumba kwa gharama kubwa.
unataka kurudisha nyumba au viwanja? mtu kanunua nyumba kwa mil tatu kajenga apartments kwa bil 70, sasa hapo atarudisha nyumba aliyonunua au kiwanja? hizo apartment mtamlipa au nazo zitataifishwa? hao walionunua wamekaa nazo tu kama mandazi? hawaziendelezi? muda mwingine tumia na akili za kwako.